Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, July 12, 2017

Huna Macho Unafanya Ukatili Huu Je Ungekuwa Unaona?

Nlitaka nianze sentesi Ya Wanaume Ni Washenzi sana na husahau upesi  ila hapana kuna wanaume wazuri sana duniani so ntatumia neno wanadamu.
Said Tanzania nzima ilikuwa nyuma yako wakati Scorpion kakutoa macho kumbe he was actually doing humankind a favor?
Unatekeleza watoto na mke Leo hii ambaye alikuwa na wewe bega kwa bega sinceDay One akikujali kama wanavyosema katika shida na raha leo hii unamfanyia Ukatili huu?
Halafu wanaume wakiafrika sometimes mnanichosha mtu umeenda kuowa kisirisiri,umetekeleza watoto,you are fucking outside The marriage and yet mkeo kakufumania Unampiga,Really?
Tena unampiga yeye,dada yake na watoto wako kama sio laana ni nini mbwa wewe?
Mtu kakuosha,kakulisha, kakulea miezi tisa ulivyotobolewa macho Leo unathubutu kuinua mkono kumpiga we si hayawani tu!
Kuna vitu vinamkumba mwanamke mwenzako unaishiwa hata maneno yet kuna mambwa yanasupport mtu fulani mjini kuzaa na mtu wa mtu bila kufikiria wanaisambaratisha familia.
Mwanamke anayesupport that na kutokuwa na huruma na mwanamke mwenzake ni..
Wanasemaga Mzazi humpa laana mtoto but I say hata Mtoto humlaani Mzazi..
Huwezi kuacha Malaika wa One month ukaenda kuowa na ukadhani utafanikiwa!
Halafu atleast kuwa na Aibu bali bado unamtungia dada wa watu Uwongo mbele Ya Jamii ila ukweli utakuja kuukiri wewe mwenyewe kwani always mwenye kosa hujihami na Uwongo..
Tunasemaga lets hear both sides but in this case I beg to differ.
Keep your head up babygirl Mungu yupo atarudi akikupigia magoti bali wewe endelea na maisha yako na Lea watoto wako,Pole sana Mpenzi!
Kumbuka kuna watu unawasaidia kumbe Unawatayarisha kuja Kukuumiza,Nimemaliza.com!

3 comments:

Anonymous said...

Nilisilikiliza jana . Nikakumbuka usemi wa mama kipenzi "Mungu aendelee kumpumzisha pema peponi"
Mwanaume hata awe kipofu bado ni mwanaume.
Baadhi yao
Hawana utu wakitokea umaaikinini wakapata utajiri
Hawana utu wakiwa matajiri
Hawana utu wakiwa masikini
Basi hawana utu kila kona .
Mungu ataendelea kumlipa hapahapa.
Kuna mateso tunakutana nayo . Yanasababu .
Tupo tutaendele kumeombea dada alee watoto.
Hata kupunguziwa macho kulikuwa na sababu . Mola nisamehe

Anonymous said...

Nimemsikiliza huyo dada machozi yamenitoka. Kweli binadamu hana shukrani!. Mungu akutangulie dada, pambana kwa ajili ya wanao utashinda. Huyo kichaa tupa kule, usimwonee huruma hata akikuangukia na magoti juu, atarudia tu tabia yake,.Miss M

Cute Olive said...

Dah sijaamini kama kweli ila malipo yake atayapata