Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, July 18, 2017

Basi Sawa!!!Yaani Albert just Funga kolomo hii haikuhusu!


3 comments:

Irene said...

hata sielewi kwani vipi maana dada wa watu yuko pouwa tu wala hana hata shida. watangoja saaana na mahips na makalio yao

Anonymous said...

Hapo ni kuongelea Omba bahati dunian na sio uzuri .
Dada sara ni mzutmri kama alivyo . Ila ukimweka kwa wenda gym au wadada wenye mvuti bongo hato chaguliwa Ila Mungu kampa uzuri wa ndani na Bahati . Siunaona pzawdi yake ya biryhday inaonesha kakubalika kuliko sie wenye kushida gym na tumejipura kaa majini . Mungu aendelee kukubariki Sara

sosoano said...

hahhahahah!!!! ameniacha hoi lulu aliposema hata simunjui najiongelesha tu
hahahha!!! na huyo aliyeisema serikali ameacha hoi kahhh!!! bongo kuna watu comediani
ukweli ni kwamba ukimuamini Mungu yote yanawezekana ila sharti usimchanganye na mambo ya unafiki na kupretend kumtumikia kumbe ni mwanga

hongera ziende kwake dada Sarah wengi hatukujui