WITH FESTO POLEA..,
WITH MARKUS MPANGALA..,
MEDIA HOUSE YOYOTE ILE UKISHAKUWA KWENYE INDUSTRY IKIKUPENDA,IKAKUKUBALI NA KUKUSUPPORT BASI YOU GONNA BE ALRIGHT..,
HAKUNA KITU KIZURI KAMA MEDIA IKIKUHESHIM NA WAKIKUHESHIM WATAONYESHA MAZURI YAKO NA MAENDELEO.,
KINGINE UKIISHI NA WATU VIZURI IT WILL REFLECT HATA KWENYE KAZI ZAKO NA PRESENTATION YAKO ILI JAMII IKUELEWE.,
IT IS WHEN YOU LET THEM OR BE FOOLED KUWA THE NEGATIVE SELLS BASI KURUDI NYUMA KUTAKUWA KUGUMU MNO.,
UKIJITAMBUA NA KUJIELEWA KAMA MSANII,MUIGIZAJI,MWANASIASA,MUANDISHI AU CHOCHOTE KILE KAMA KIOO CHA JAMII BASI HATA MEDIA ITAKUEKEWA LAASIVYO WATAKUWA WAKIKUSANIF TU KWA MANUFAA YAO!
PERSONALLY MI SIO MTU WA MASIFA I DO WHAT AM SUPPOSE TO DO,SIMAKE SO MUCH NOISE KWASABABU NATAKA PIA NIWEZE KUISHI MAISHA YANGU IN PEACE,AS LONG AS NAJUA KINACHOENDELEA MAISHANI MWANGU BASI AM GOOD. NASHKURU KUWA HABARI HOUSE WAMEKUWA WAKINISUPPORT BIG TIME AND ALL I CAN DO IS SAY THANK YOU TO HABARI HOUSE,NAWAPENDA!!
1 comment:
naikumbuka hii ulitokelezea sana na hicho kikapu.
Post a Comment