Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, August 3, 2017

I APOLOGIZE!!!


 So am afraid when i posted yesterday it caused some trouble for my tech guy and he has been working so Hard so that I can start to upload again so I would like to apologize for that and The inconvinience it creates for both him and you The readers.
All in all I just need to have some patience so that i can Come back in full effect!

So jana nilivyopost it appears nilimpa tabu The Admin kuweza kufanya kazi yake na kiuweli nilitakiwa kuwa na subra so sasa itabidi niwe mpole ili aweze kumaliza kazi ili nilirudi in full affect,Poleni kwa Usumbufu wapendwa!

2 comments:

Irene said...

Oh poleni saana then wacha tutulie kama maji mtungini maana si kwa kiherehere hiki cha kutaka kuanza comment haraka saaana

Cute Olive said...

umpendeza nimeipenda sana hii picha