Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 24, 2017

All The Best Hawa!!!

Kuna vitu nchi zetu bado sana.
Sehemu kama hii mnatakiwa muwe na Ethics za kumstiri aliyopo hapo those are the ethics ya hiyo kazi.
Camera hazitakiwi hata siku moja kwenda Rehab kushoot watu bila idhini yao sasa walioonekana wakati hawakutaka mnafanyaje....
A sober house inatakiwa kuwa a safe zone kwa waathirika so pliz next time kama Camera zinakuja waset up chumba na Ongeeni na wahusika tu.
Hivi lini mtajifunza kuwastiri hao mnaowasaidia mnapaswa muwastiri ni muhim sana kwa maisha yao ya baadae maana The real struggle starts siku watakayotoka from The safe house na kuanza maisha yao nje ya Sober house.

5 comments:

teddy richard said...

Wamefanya makusudi kuonyesha hao wengine, Kama muhusika wa kipindi ni Hawa kwanini waingize na wengine? Na Kama walivyosema mtu hakuwa tayari kuzungumza nao basi wao wangefocus na mlegwa wao tu. Ni wakati sasa wa kuacha kufanya kazi kwa mazoea watu wajue miiko ya kazi zao na wajue kulinda haki Za wengine.

Irene said...

what a shame nadhani tunahitaji kuwa na sheria inayowalinda watu wenye matatizo maana hiizi social media na tv zimezidi

sosoano said...

very bad hawa shilawadu mana nimesikia mpk jina lake
sio vzr
afu wangemwacha tu wala wasingetafuta kumuhoji mtt wa watu mana ndio kwanza kaingia kwa hiyo hausi

very shame

Aloyce George Dj anae tumia kanda said...

haipendezi kwa kweli wanafanya kazi kwa mazoea

Aloyce George Dj anae tumia kanda said...

haipendezi kwa kweli tatizo wanafanya kazi kwa mazoea