1. mmmhhh huyu AT nahisi anatafuta kiki kupitia migongo ya wenzie 2. ehhh!!! m nilikuwa sijui kama anga letu lamilikiwa na Kenya, means hata sie ipo siku tutaambiwa tunamilikiwa na Mugabe!!!! 3. sasa jmn tutaolewa na wa aina gani hahhahahha!!! mbona majanga ya snura 4. hahahhaha!!!!! eti sisi tuvumiliane tu hahhaha!!! kuna watu wanajua kuwachekesha wenzao ila ndio nzr mana twaongeza siku za kuishi so ukiolewa na kijana inabidi uwe unacheka sana kuongeza siku za kuishi
Watu wanaishi karne za kale. Wasoolewa Wanakufa wasoolewa wanakufa. Kuolewa ni mapenzi ya mtu. Na kuishi na afya ni jinsi gani moyo unaweza kubeba mauzi. Matajiri hata visivyotabiriwa
5 comments:
1. mmmhhh huyu AT nahisi anatafuta kiki kupitia migongo ya wenzie
2. ehhh!!! m nilikuwa sijui kama anga letu lamilikiwa na Kenya, means hata sie ipo siku tutaambiwa tunamilikiwa na Mugabe!!!!
3. sasa jmn tutaolewa na wa aina gani hahhahahha!!! mbona majanga ya snura
4. hahahhaha!!!!! eti sisi tuvumiliane tu hahhaha!!! kuna watu wanajua kuwachekesha wenzao ila ndio nzr mana twaongeza siku za kuishi so ukiolewa na kijana inabidi uwe unacheka sana kuongeza siku za kuishi
hahahah imebidi nicheke Mume bora.
AT waache Dai na Kiba kwanza wewe hatukusikii kabisaaaa
Watu wanaishi karne za kale. Wasoolewa Wanakufa wasoolewa wanakufa. Kuolewa ni mapenzi ya mtu. Na kuishi na afya ni jinsi gani moyo unaweza kubeba mauzi.
Matajiri hata visivyotabiriwa
ha ha nimeipenda hiyo sifa ya mume ipo amaizing
AT nae siku hizi sijui amekuwaje naona anapoteza mwelekeo!mwamini
Post a Comment