hhahahahahahha!!!!!!!!!!!!! jmn jmn tuwe makini nowdys mana mkulu jana alisema we watoe nje ya bunge na wakiendelea kuongea nje atadili nao hii ina mana sio wabunge tu bali hata sie wananchi tuwe makini na ongea yetu utashangaaaa jela inajaa watu wa makosa ya mitandaoni #mmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!! #ngojaninyamaze #mienitaongeleachoonimanakulehakunamtu
4 comments:
hhahahahahahha!!!!!!!!!!!!!
jmn jmn tuwe makini nowdys mana mkulu jana alisema we watoe nje ya bunge na wakiendelea kuongea nje atadili nao
hii ina mana sio wabunge tu bali hata sie wananchi tuwe makini na ongea yetu
utashangaaaa jela inajaa watu wa makosa ya mitandaoni
#mmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!
#ngojaninyamaze
#mienitaongeleachoonimanakulehakunamtu
Mh!no comment.
Faiza mmmmhhhhh, ngoja nipite tuu. Huyu Dada akili zake anazijua mwenyewe
Am in love with fauna words dunia imechange sana Mabinti wamegeuka mafisi wa haswaaa
Post a Comment