Hiyo ya Brown sio nyama Bali ni Bilinganya..
Rice with Vegetables..
Sushi
Sweet potato fries with olives and Lime and Piripiri on the side..
viazi vitamu ni healthy mno na vegetarians huwa wanakula sana sweet potatoes
Pasta Sallad with Cheese
Eggs,cucumber and Olives..
Noodles but this is so much fat,,,not healthy but Goooooood!!
Pasta with fresh Spinach..
Pasta na mchicha fresh..
Siri yangu kubwa kwenye chakula ni huwa nakula sana mboga za majani na very little Meat,mimi sio mlaji wa nyama sana.
Nyama ni muhim iwe kwenye lishe yako lakini sio lazima ule nyama kila siku.
Kila siku ukika lazma uwe na kitu cha kijani pembeni ya sahani yako whether ni Sallad au mboga ya majani,muhim sana.
Kibaya Changu ni mnywaji soda jamani Soda ni mbayaaa kwa ajili ya processed sugar ila nakomaa nayo ilanimepunguza but bado ni udhaifu Wangu.
Kula Breakfast ni muhim ila mimi kula breakfast ni majaaliwa because of my working schedule.
Kula unachotaka ila fanya mazoezi na unaambiwa 20minutes per Day is all you need kama ni mvivu anza hata hizo na baadae utakuwa unaongeza dakika little by little.
Mda wa kula Pia ni muhim na nini unakula Pia maana huwezi kula Burger monday to monday lazma uupe mwili madini yote yanayohitaji.
Huwezi kuwa unakula usiku sana ukategemea usinenepe for example unaambiwa kula heavy asubuhi na mchana but Lighter usiku.
Ukitaka vitamu usiku bas jizoeshe always kuwa na matunda nyumbani.
Pombe nayo inanenepesha tena si kidogo na kujuzeesha Pia kama wewe ni mnywaji sanaaa but kiwango na diet nzuri na mapumziko bas hakuna Kibaya.
Kika kitu is about balance na kingine mkumbuke mimi sio mnene naturally tena afadhali hata sasa Nina kinyama na kipaja na watu wote metobalism zetu hazifanani.
Sio kila mnene basi anapenda kula Hapana kuna wembamba wanakula mpaka unashangaa so ukishajua mwili wako kitu gani kinakufanya u gain weight basilika ni rahisi kuufanyia kazi Pia.
Mapumziko nayo ni muhim kwani vyote viko connected so If you are stressed some mazoezi huwasaidia but kumbuka kuwa mapumziko ni muhim kwa mwili wako kurecover.
Discipline na Determination is all you Need!!
.
7 comments:
waooooooooooooooooooooooo lovly fud jman da nuu
asante kwa tips
will try mana mie napenda vyenye sukari jmn nashindwa kuacha
mfano nina green tea hom ila kuinywa siwez nilijaribu siku moja ndio bas mpk wa leo
yani nikishaona vitamu basi ulimi nje uooooooooooooooooooo
mmmhhhhh!!!!!!!!!!!
Cha muhimu kwenye misosi ni kuzingatia kiasi na kubalance mlo!hata ktk Quran tunaambiwa kuleni msipite kiasi.Nashukuru Mungu mzuka wa soda sinaga kwa mwaka naweza nunua kwa hela yangu mara 2 au 3,soda mpaka shughulini au ugenini na chupa 1 kuimaliza mbinde.!mwamini
Asante sana Nuru. Mazoezi kweli ni muhimu sana. Mm mwenzenu mboga mbichi (salads) zinanishindaa. Sijui ushamba ila mmmmhhhh bora hata nizipike kidogo
Nyama nashindwa kuacha jamani,mbuzi choma pale club ya wazee uwii nifanyaje tuu,Ila soda is a no-no kwangu sio mpenzi kabisaaa
mi sipendi wembamba ila kula healthy ni muhimu kwa wote uwe mnene au mwembamba maji kwa wingi na mazoezi
Replace sukari na matunda au just kula ila ja zoezi juu sosoano ujumbe Mj kapata..
Dah natamani na mm ningekuwa hivyo mwamini
So so right Cute oliver
Uwiiiii Mischa hata mimi pale nakuwaga mdogo hahaha..
Jamani Am na Tabi mpooo
huuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
leo nitalala namuota jmn MJ wangu
mwambie asante sana kwa kupokea ujumbe wangu
aiseeeeeee da nuu asante sana kwa kufikisha ujumbe
Post a Comment