Mumgu mpe afya njema Sadya. Ha kuna gumu kwako na wala wewe Hushindwi. Hakika tege me let ni kwako Mungu basi tumeinua mikono yetu tuu.Na tu naamini msaada wako ni mkubwa kwetu .mpe afya kama mwanzoni Inshaallah . Watz kiboko wote mmeongea comment ya Rais. Mmeshindwa hata kutoa omba lens kwa mtt Sadya.Huwenda sauti yako ikawa ndo pony lake dah . Mnakatisha tamaa
5 comments:
Aaah! Hio ya mwisho kwa rais ni kali.
Watu wana maneno jamani.
Natumaini rais atayatafakari.
Mm mmh, MissY.
coment ya mwaka
Hahahahaha Laude ni nomar na hiyo tweet yake ya mwaka...P.K
I'm afraid sheria ya mtandao inaweza fanya kazi hapa!!
Mumgu mpe afya njema Sadya. Ha kuna gumu kwako na wala wewe Hushindwi. Hakika tege me let ni kwako Mungu basi tumeinua mikono yetu tuu.Na tu naamini msaada wako ni mkubwa kwetu .mpe afya kama mwanzoni Inshaallah .
Watz kiboko wote mmeongea comment ya Rais. Mmeshindwa hata kutoa omba lens kwa mtt Sadya.Huwenda sauti yako ikawa ndo pony lake dah . Mnakatisha tamaa
Post a Comment