Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, May 30, 2017

Yaliyojiri!!!

Kifo cha Ivan kimenifunza mengi sana kuhusu binadamu au niseme walimwengu.
Hiki Kifo na status ya marehemu ndio iliyofanya watu kuzungumza sana trust me kama Ivan angekuwa mtu mwenye uwezo wa chini half of The People hata wasingejadili nor kujali huu msiba.
Sasa mnagain nini kutunga uwongo?
Inawahusu nini  nani yupo au hayupo?
That is between Zari na  watu wake na familia ya Ivan.
Hivi hawa watoto miaka yote hukuomba DNA Leo kama mjomba unaomba ili iweje wakati baba yao anawatambua kama damu yake kama si laana ni nini!
Utawatizamaje hao watoto baadae usoni wakati umeshaongea upuuzi huu kama mjomba wao?,
Hao team Wema ni wakuwaacha tu maana inafika level na mipaka ambayo wanavukaga which personally am not suprised anymore kwani Hiki ni Kifo so mtu anatakiwa awe na decency ya kuwa na utu kwenye wakti huu.
Statement ya Diamond not really unajua kumjua mtu feki si kitu kigumu kabisa but you have to be Willing...
Watu feki hutuonyesha ila kuna wakati mnakuwa wagumu kukubali ukweli ila ukishakubali signs zipo na ni rahisi sana kuziona but je ukijua je uko tayari kuchukua hatua?
Mugabe Will be Mugabe!!

4 comments:

Anonymous said...

Watanzania tuna makelele utadhani tuko mirembele.
Zari anaenda gå kwenye shighly za wenzake ili jiulizeni?
Aki wish birthday ata wish amtakaye.
TUJIFUNZE KUPITIA WENGINE

Anonymous said...

Rudi shule ujifunze kuandika kwanza kwani lazima awawish dunia nzima mxiuuu

SUZANA ANORD said...

uko sahihi da nuu sahihi kabisaaa
pipozzzzzzzzzz tuko na shida kwa vichwa vyetu walahiii mana huuu msiba kila mtu anasema chake
kweli kabisaaa unasingizia marehemu jmn aiseeee

Irene said...

kazi ipo jamani yani binadamu tuna midomo hasa ukiwa msiba wa tajiri ingekuwa msiba wa maskini hakuna ambaye angeongea kitu wote tungekuwa kimya. Tanzania tuna shida mana wengi wetu tumekuja kuwa expeposed kwenye social media tukiwa wakubwa ni shida yani kila post lazima wacoment na kuongea mashuzi. kila picha huangalii na kutafakari lazima upost najaribu imagine huo muda wangeinvest kwenye kuzalisha tungeendeleza nchi yetu na kuacha tegemea watu.