Picha zote nimemwona aunt Eze mke ya mukatae nyongo. Mnene kama mimi u fupi kama mimi ila yy kani zipi u refu . Sasa hiyo nguo ndo imechafua hali ya hewa . Utadhani uko ktk halowin bwana. Ulivyo piga kwa nyuma ulisahau kaa shepu za wale waonesha migono huna.
3 comments:
Antiiii!ngoja niishie hapo.
Uuuwi Aunt weeeee ndo mini!!!
Mbona Gwantwa we nzuri?
Au ulipaniaga sana!!
Picha zote nimemwona aunt Eze mke ya mukatae nyongo.
Mnene kama mimi u fupi kama mimi ila yy kani zipi u refu . Sasa hiyo nguo ndo imechafua hali ya hewa . Utadhani uko ktk halowin bwana.
Ulivyo piga kwa nyuma ulisahau kaa shepu za wale waonesha migono huna.
Post a Comment