kapendeza sana , yaani ni mrembo mno asiwekege yale marangi yanamshusha hii imempa classy sana !! Nuru niliumia sana yule dada mmoja alivyomtukana wolper utasema yeye sio mwanamke ! Mungu anamuona lol
kwa kweli wolper hii style akae nayo sijui mpk mwakani au iwe ndio nywele zake asiweke mengine mana hii ni bombastikiiiiiiiii mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wolperrrrrrrrrrrrrrrrrrr yani naitamani ila kwa kichwa changu big no siwez jitoa muhanga
5 comments:
Hakika nilikuwa sijamjua kabisa wolper huu mwenekano umembadilusha sana na amependeza sana tu yaani ilichukua muda mpaka kujakugundua ni yeye
Kapendeza mno,,
kapendeza saana kweli hiyo nyweli ni nzuri
kapendeza sana , yaani ni mrembo mno asiwekege yale marangi yanamshusha hii imempa classy sana !! Nuru niliumia sana yule dada mmoja alivyomtukana wolper utasema yeye sio mwanamke ! Mungu anamuona lol
kwa kweli wolper hii style akae nayo sijui mpk mwakani au iwe ndio nywele zake asiweke mengine mana hii ni bombastikiiiiiiiii
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wolperrrrrrrrrrrrrrrrrrr
yani naitamani ila kwa kichwa changu big no siwez jitoa muhanga
Post a Comment