Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, May 14, 2017

Msafiri na mmalize kila kitu Swalama!!


Sometimes tujifunze kutoa sifa especially kwa wahusika and not to make it about us.
Mchango sio lazima alotoa sana Bali ni hata wale wote waliokuwa a puzzle na mwisho wa siku kumake sure wahusika wamesaidiwa.
This is about hawa watoto na sio mimi wala wewe kwani hata alotoa mda wake kwa kupiga goti na kuwaombea hawa watoto hata huo ni Mchango.
Ifike mda tujue tu kusema ahsante kwa yoyote atakayojitolea kwa kikubwa na kwa kidogo kwani hata wewe kufika ulipo ni watu wengi sana wamechangia safari yako.
Muende salama na mrudi salama wapendwa!

1 comment:

Cute Olive said...

uliyoandika nuru ni kweli tupu kikubwa tushukuru kwa yote