kwakweli walipendeza sana sana afu huyo dada aliyepuga pcha na wema uwa anajua kupiga pamba za kwenye harusi yani mara nyng anapenda sijui anajichagulia au anachaguliwa but hongera kwake
maharusi hongereni, Mungu awalinde na ndoa yenu mana bada ya miaka 2 na kuendelea ndio umaana wa ndoa hujulikana bado yangu suni inakuja hahahhaha!!! nitakualika da nuu kama special guest, mcute olive utakuwepo, comfort utakuwepo, na wengine wengi hahahhaha!!!
4 comments:
kwakweli walipendeza sana sana
afu huyo dada aliyepuga pcha na wema uwa anajua kupiga pamba za kwenye harusi
yani mara nyng anapenda sijui anajichagulia au anachaguliwa but hongera kwake
maharusi hongereni,
Mungu awalinde na ndoa yenu mana bada ya miaka 2 na kuendelea ndio umaana wa ndoa hujulikana
bado yangu suni inakuja hahahhaha!!! nitakualika da nuu kama special guest,
mcute olive utakuwepo, comfort utakuwepo, na wengine wengi
hahahhaha!!!
Wamependeza.
Jamani kapendeza haswaaa na sura inachangia mh hapana kama ka.................
wamependeza sana sipati picha watoto wao wakua wazuri sana Mungu awalinde katika ndoa yenu
Post a Comment