Naomba niongee kitu kimoja kidogo kwa wasomaji wangu.,
Kilichomtokea Albert ni kosa ambalo limemcost sana kuliko Gigy.,
Kwenye maisha jua kwamba ukishajiinvolve na mtu ambaye huwezi ku-gain kwake bali kuloose basi usijichanganye nae kabisa kwani wewe ndio utakuja kupay the bigger price.
Na hili liwe somo kwa wanaume wengi maana hiyo nchi mtu anajiona si mwanaume bila kuchepuka such a stupid mentality na si wanaume tu hata wanawake mliomo kwenye ndoa maana mnapendaga at times kujudge walioko nje looking in.
Aloumia sana kwenye hili ni mkewe aisee ni mtihani huu asikwambie mtu.
Kiukweli hii issue ni kubwa than hata yeye alivyodhania kwani imemcost si tu career yake bali hata maisha yake binafsi kama Mume,Baba na Uaminifu kwa jamii na Familia yake.
Cheating never leads to a good thing bali ni maumivu tuu kwa waliokuzunguka so nawaombea familia yake wawe na nguvu during this difficult time na kuwa yeye kajifunza that when you know better you do better!!
Bongo5.com
6 comments:
My question is what was he thinking? ama alifanya makusudi cause nimeona video ya maelezo yake he sounded like he didnt care or what he did was purposeful that if a leader does crap should resign not a single sign of remorse, Mimi Gigy nampenda sana she says like she means it ila kazidisha msondo? Lol ...CinTea
da nuu umeongea ukweli mtupu, ngoja nami niweke yangu hapa:
1. msando kwa jinsi jamii inavyomjuchukulia hatakiwi kabisaa kujihusisha na mambo ya ajabu ila ndio hvyo tena yameshatokea pombe haina adabu wala nidhamu,
2. aliyepost hiyo video ni nani kati yao wawili?
3. aliposti kwa mantiki ipi if ni mmoja wapo ndie amepost?, if not them bas aliyefanya hvyo alikuwa na nia ya kumchafua msando kwa jamii na familia yake.
4. najua itamchukua muda sana kurejesha uaminifu kwa mkewe ila asikate tamaa aendelee kumuomba msamaha, na akae kimya sio kila akiitwa kwenye intaview aende, itakuwa kumtonesha kidonda mkewe, aache kukubali any intaview hasa shilawadu
5. nampa mkewe pole tena pole sana mana ni kipindi ambacho kila sehemu atakayopita atanyooshewa vidole mana ni kashfa mbaya sana ila ajikaze yatapita.
6. msando ikiwezekana futa IG kwa muda ili uweze rudisha na kujenga uaminifu kwa mkeo na watt na wazazi na familia nzima.
7. mwisho hii iwe fundisho kwa wanaume wote wenye kupenda kula kula vitu visivyo na hadhi zao, havifanani na muonekano wao, au ikiwezekana watulie na ndoa zao. kuchepuka hakuna ratiba ya kufumaniwa
Umenena Nuru!
TUJIFUNZE KUCHAGUA MARAFIKI ,MAKUNDI KULINGANA NA HALI ZETU.
STAREHEE YA SEKUNDE INAKUHARIBIA KILA KITU ULICHOI FANYA MAISHANI
MTU KAMA GIGY KILA ANAYEANGALIA MTANDO ANAJUA. GIGY KAFYETUKA HAOGOPI CHOCHOTE.
WEWE UKIWA KAMA BABA AU MWANA SHERIA BORA UNGE TAFUTA MWANAMKE MSHAMBA UMLIPE HAMU UENDE .
TUANGALIE NANI TUNAKAA NAE NA KUONGEA NAE
IMENIUMA SIJUI FAMILIA YAKE IMEWAUMAJE
imemcost sana ni funzo pia kwetu.
Gigy hana cha kupoteza..
Ila msando anapaswa kuiheshimu taaluma!mwamini
Kweli Susan he needs to be out of socialmedia kwa mda.,
Post a Comment