Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 20, 2017

Yaliyojiri!!
5 comments:

Anonymous said...

Hiyo ya askofu nashindwa nicheke au nilie.....the comments are funny

Anonymous said...

Wolper kashindikana . Huyo anayepa do aligawa K.Ma si mwanaume .angekuwepo nchi zilizoruhusu kujiua angekuwepo wale walokubuhuuu. Hana stara na ndo kaungua pombe.
Alafu sio mbaya useme ana kasoro . Atapiga wa makubwa kundi lote la Mond . Sijui mchagä gani???
Anatutia aibuuu

Anonymous said...

Hahahahah!!!!! Nimeipenda ya askofu
Majibu anayo
By suzana

Bintinyota said...

Haki waTZ wamedata!!
Askofu achunge Kondoo WA Bwana lol!!

Mmmh msanii kioo cha Jamii
Bora wanaotumia Techno werevaaa kuliko midomo werevaa isiyo na viwango then unajiita mwanamke? Mkitukanwa mwaja juu na kutwa mnajitukana.

Cute Olive said...

HAHAHA hata wewe Mchunga Kondoo jamani imebidi nicheke tu