Uwii mbona polen!! Kuhama kunanitia kisitlrani mie .. Nuru unakaa kwa kaka yako au? Navyo sikia huyo ni ndugu yako au ??. Maana kila picha mko wote safari
Hahahaahah naomba nicheke maana hii ni comment of the year.,gadem nafwaaaaazz!!! naomba wadau mumjibu hahahahahaha Jag orkar inte uwwwwbbbdtrmkdhsyerwqöäp
UNAHAMIA MTAA GANI VILE ILI NIJE HAHHAHA!!! KWELI KABISAA KUHAMA KUNACHOSHA NA KUNABOA KWELI AFU WATU WANA NJAA UNATAKIWA UPIKE UKU VITU VYAKUGONJA KUVIPANGA YANI KWA HASIRA UNAWEZA UKALIA MI SIPENDI KUHAMA JMN KWANI KUKAA KWA NDUGU YAKO KUNA UBAYA GANI, MI NAPENDA ILA NDIO SIITWI NA NIKIWA OFF NAKAA KWA DADA MPAKA ANAKOMA NA HV HUWA SIPIKI KABISAAA BASI RAHA TU
Kuhama ni shidaa pole sana, unazeheka kwa masaa tu usipoangalia.
Huyo WA bro mwambie aende Kolomije atapata jibu LA birth certificate lol! Maswali gani hayo?
Na MTU ukiishi kwa kaka au Dada yako, what is wrong jamani!!! Na ukizingatia your not married!! Hey people has plans, people love each other, people got manner!!! Zamani nani alitoka home bila kuolewa au kuowa?
Tuache kufatilia maisha ya watu, so many things to do for our living
8 comments:
Uwii mbona polen!! Kuhama kunanitia kisitlrani mie ..
Nuru unakaa kwa kaka yako au?
Navyo sikia huyo ni ndugu yako au ??.
Maana kila picha mko wote safari
Hahahaahah naomba nicheke maana hii ni comment of the year.,gadem nafwaaaaazz!!!
naomba wadau mumjibu hahahahahaha Jag orkar inte uwwwwbbbdtrmkdhsyerwqöäp
Si urudi kwa waliokwambia uwaulize upate jibu mxiuuu Light wasikuchoshe nunu wangu
yeah rudi kwa hao ulioskia kutoka kwao watakupa majibu.
Sio tabia nzuri kumcheka anayeuliza swali mpe jibu na si kumcheka walah ningekua karibu ningekufinya
Hahahhah Connheaven unaambiwa njia ya mtu muongo ni fupi sana iko siku nitafafanua humuhumu mpenzi wallahy bado nacheka😃😃😃
UNAHAMIA MTAA GANI VILE ILI NIJE
HAHHAHA!!!
KWELI KABISAA KUHAMA KUNACHOSHA NA KUNABOA KWELI AFU WATU WANA NJAA UNATAKIWA UPIKE UKU VITU VYAKUGONJA KUVIPANGA YANI KWA HASIRA UNAWEZA UKALIA
MI SIPENDI KUHAMA JMN
KWANI KUKAA KWA NDUGU YAKO KUNA UBAYA GANI, MI NAPENDA ILA NDIO SIITWI
NA NIKIWA OFF NAKAA KWA DADA MPAKA ANAKOMA NA HV HUWA SIPIKI KABISAAA
BASI RAHA TU
Kuhama ni shidaa pole sana, unazeheka kwa masaa tu usipoangalia.
Huyo WA bro mwambie aende Kolomije atapata jibu LA birth certificate lol! Maswali gani hayo?
Na MTU ukiishi kwa kaka au Dada yako, what is wrong jamani!!! Na ukizingatia your not married!!
Hey people has plans, people love each other, people got manner!!!
Zamani nani alitoka home bila kuolewa au kuowa?
Tuache kufatilia maisha ya watu, so many things to do for our living
Post a Comment