When my eyes saw him I instantly fell inlove..,
Chocolate..,
Bye Kids I gotta go,.,
If you ever going to rent or purchase anything in the world make sure to do your homework and your research prior to and make sure that the pappers are in order and most importantly the property is indeed in full.It is important to make sure that you protect yourself incase of anything but make sure that the law is in your favor at all times since we got som dishonest people so it is important to take your time,make sure everything is in order and then make the purchase.
Don't be scared of asking the right questions and dare to challenge the seller with thee right questions so that you get all the answers to your questions which will be helpful to you.
Ukiwa unataka kununua kitu au kukodisha kitu Sehemu yoyote ila dunIani usiwe muoga kumchallenge mtu unayedeal nae kwani kwenye maswali yako na changamoto maswali unayompa ndio utapata jua mengi na offcoz kuna matapeli ambao wanapractise jibu la swali lolote lile bali na wewe pia unatakiwa uwe mjanja na kingine do your homework usiende tu jicho moja fanya research na usiwe na papara na ikiwezekana nenda kila idara inayotakiwa kuhakikisha je unachouziwa ni halali au kiko kwenye utdata.
Nimegundua Tanzania ni kubwa sana nourri.
Uzuri wa Tanzania unaweza kukaa popote PALE as long as una usafiri yaani swali la usafiri likishughulikiwa nawaambieni sehemu kama Sinza,Kariakoo sijui Kinondoni mtapaona hapafai kwa ubanano IT IS TRULY AMAZING kuwa nayaona haya leo japokuwa upande mwingine naona kama nimechelewa na hapo sijatembea sana mikoani nadhan nitachanganyikiwa kwa uzuri wa nchi yetu ila unaambiwa in life kila kitu kinaendana na TIMING.
2 comments:
Hii post yako niliipenda!
Dress from Mother Dearest.,
AM so tired tuliparty hard so ama sleep and you have a great party on weekend.
Kweli kuna watu watavyozidi kupata utajiri au maendeleo ndivyo wanazidi kubadilika na kuona wengine hawafai.
Sikudhania ntasema hiki kitu ila kuna watu hawapaswi kupata kwani watakuja kuumiza,kuona tu na kukandamiza na kudharau wanaadam wenzao dah am speechless kwani unaweza dhania unamjua mtu kumbe unamfaham kwani siku akipata ndio unapata mjua haswa.
Hii ya zama iinama fanya yako
From zamaradimketema"
Maisha yanapokuwa magumu kwa upande wako ni vyema ukamuomba MUNGU kuliko kupiga mtu MAJUNGU
MAJUNGU hayabadilishi hali ya maisha yako
Ila Majungu yanapoteza nguvu na uwezo wako
Tumia muda mwingi na MUNGU maana MAJUNGU yatakuzidishia giza la uso na nuksi zaidi badala ya kukupandisha walipo wenzako kutokana tu na kudeal na wasiokuwa hata na time na wewe na wala WASIOKUJUA
Na zaidi Majungu yanafifiza maana kutwa uso unaukunja kwa hasira na roho mbaya juu ya wenzako, hata kama MUNGU aliukunjakunja mwanzo sasa unauzidisha
Hakuna asiekuwa na maneno mabaya ama machafu ila kuna heshima, na hakuna aliekosa CHAKUTUKANIWA ila kuna watu wamefundishwa STAHA na kumuogopa MUNGU,
Hakuna mtu aliwahi kusifiwa kwa chokochoko, kwanza hizo ni dalili za WASIOJIAMINI AU WALIOSHINDWA, hivyo tujitahidi kidogo kupunguza kimbelembele cha kukebehi watu hali ya kuwa hapo ulipo una sababu milioni za kuchambuliwa ukajikimbia.
Wakati wewe unahangaika kutafuta mbinu mpya za kukejeli na kukebehi, wengine wanahangaikia mbinu za kutoboa haya maisha na kujenga ngome zao
Kitu kilichokubaliwa kimekubaliwa tu, kitoe kasoro katika kila njia lakini hakibadilishi mitazamo ya walioamua kukiangalia positive, na hata watakapobadilisha haitakuwa kwa ajili ya maneno yako wewe ila matatizo yao, tuache tabia za kichawichawi hizi ndio zinazoturudisha nyuma bila kujua
Na hii ni General kwa yeyote mwenye tabia za namna hii kwa yeyote, hao mnaowakebehi wakiamua kujitia uchizi ligi zao huwenda hamziwezi kabisa kuhimili, sio kila alie kimya hana neno la kukwambia, ila ameamua kutunza heshima yake maana huenda HUSTAHILI attention yake. Hata Ligi za mpira zina madaraja, sasa ni mpumbavu pekee atakaeamua kushuka kwenda kupambana viwanja vya mchangani kwenye NDONDO hali ya kuwa anajua yuko ligi daraja gani.
JITAMBUE halafu FANYA YAKO
Post a Comment