Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 27, 2017

NYEMHANGA SEGUTA I SALUTE YOU!!!

Baada ya kuisoma hii habari sehem tofauti nliona kitu nikagundua how baadhi ya Watanzania wanajua kumkata mtu moyo pale anapotaka jiimarisha.
Unamcheka mtu ambaye anataka kuanza kijifunza kusoma na kuandika,Why!
Unamcheka mtu anayetaka  maendeleo na kujua kitu kabla hajaiaga hii dunia?
Unaambiwa better late than Never and Seguta is an example of it.
Hivi mnajua idadi ya vijana ambao Hawajui kusoma let alone kuandika.
Mnajua how many women ambao Hawajui kusoma na kuandika?
Nilivyofanya project na Vodacom few years back ilitubidi tusafiri jamani hapo mimi ndio niliamshwa gizani na kujua kumbe tuna Watanzania wengi sana ambao Hawajui hata kuandika jina lao aisee nlikuwa shocked lakin zaidi nilisikitika sana.

Mtu anafanya biashara na kumiliki but hajui hata kuandika jina lake.
Kujua kusoma na kuandika ni haki na sio a privilege,elewa hilo!
Mtu asiyejua kusoma na kuandika ni vitu vingi sana huwa anakosa kwakweli.
The Shame that comes with it si kitu kidogo kuishi nacho kila kukicha.
By all means nakuelewa mzee Seguta kwa kuwa shujaa na kuthubutu na kuanza shule hongera sana kwa hilo.
Kingine kabla hujamcheka mtu jifunze au chukua hata dakika kujua kwanini kwani kila kiumbe ana historia na sababu ya yeye kuwa yeye na pale alipo Leo hii.
We all have a story to tell and right know am reading his story with a big smile on my Face,I wish you all The best!

2 comments:

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

At 36 i just realized that i can still pursue my dreams. it is never too late. Thanks grand pa.