Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, April 27, 2017

A TWANGA PEPETA KINDA TING WITH MY MAIN MAN WASIWASI MWABULAMBO,WHY NOT!!!


Huyu kaka mnamskia sana redioni tena mnooo.,,Very funny and talented and Wasi well you see him on tv kaka Boss wa Azam Tv!!!


Lets do this..,
IGA UCHANIKEE,HAHAHHAAHA WHY NOT!!!
Watu wangu wa nguvu.,,
Penda sana huyu KIUMBEEE.,,
Penda sana huyu LEGENDARY,Ally Choki!!!
Hawa wadada ni nyokoooo,,wanakupa show ya hatareeeee!!UCHIZI WETU.COM,.,HAHAHA WHY NOT!!
HELAN OCH HALVAN,VARFĂ–R INTE!!!

2 comments:

SUZANA ANORD said...

M NAONA RABA TU DA NUU

NURU THE LIGHT said...

Kumbe huu ndio ugonjwa wako Suu..,