Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, April 28, 2017

KITAA NA DISCO MALAPA,KWETU RAHAAAA!!!
 The Food Was Amazing.,,


AM A FREE SPIRIT.,,
Ushawahi kwenda Disco Malapa,,ni hatareeeeee a.k.a hatarious!!!

Maisha is truly what you make it.,
Kuwa na furaha ni maamuzi na Kuanguka kimaisha ni lazima ili Uinuke na ufanye zaidi kuliko kabla ya kuanguka.,,
kukataa kosa ni kukataa Somo ulotakiwa kujifunza.,
Mwishoni don't complicate formula ya maisha kwani sisi binadamu tunatofautiana so usitake au kutamani sana cha yule kwani hujui mpaka mbadilishane viatu ndio utajua safari yake na ukaja tambua kumbe yako yalikuwa matam sana kuliko ya yule ila haukujua because ulikuwa busy ukitamani badala ya kuishi.
Mda hutuonyesha watu wetu wa ukweli na wale ambao walitakiwa kupita tu.,
Hata wale waliopita umuhim wao ilikuwa ni kukufunza tu na sio mengine.,
Maisha ni yako na sio mwengine na mtu ambae ni muhim maishani mwako ni wewe and only you!

Do not cry for those who left us but cherish the ones that chose to stay and fight for us.,
Sometimes realizing what you did not see then can be painful but the pain is the realization of the lie that we convinced ourselves or chose to see because we were simply not ready to face the truth.
When a change starts to occur do not fall back easily cause a change takes determination and will power so when you face obsticles thats just normal and not abnormal.
With change comes growth and strength that will make you understand just how strong you are and valuable to BOTH you and others.,
Your value does not come with settling but rather with saying that I am worth so much more than this and start the process.,
Do not wait to do what can be done today simply because tomorrow is never promised to us.
With that being said have a lovely weekend.,,

4 comments:

Anonymous said...

WELL SAID DEAR

Anonymous said...

love this , thank you

Bintinyota said...

Heheheheb
Yaani wewe kama Mimi, nikikute cha moto? Me hula tu kitaani, tena isiwe vitumbua utanionea huruma nikiinuka ktk bench, kitumbo ndiiii

Umenikumbusha Christmas mwaka 2010 tulipanga tukarnda Mikumi him day, my sisters na mwalimu.na wanachuo wenzetu.

Watu WA utalii kufika tunaambiwa lodge tuliyolipiwa ni alf40!!! OK as long as iko ktk budget poa!!! Mmmh kufika room nikawaambia twendeni mapokezi faster, tukaomba kwanza tukachek next door, duh!!! Kufika next door chumba full AC, full styles, hot water (tulichokosa lodge ya mwanzo), halafu pako full Shangwe!! Alf10 double duh tukajiona matajiri ghafla, alf30 x 3 alf90 kila MTU, tuksongeza two nights. Hahahaha

Sasa Christmas Eve, tukaulizia dsco, tukaambiwa lipo na tutapelekwa, poa. Usiku tukaripukaje? Full unyunyu, hills, tumetokelezea watoto (enzi za ujana kabla kuokoka lol)!!

Sitasahau kufika disco, UANI kwa MTU, weeeeeh, kuingia ndani MABONDE MABONDE!! Kuwasha kitochi kucheki, sakafu cement imevunjika vunjika, jamani, Mtumwa alichekaaaa bado ajikojolee, kakaa na chini!! Lol.
Tukavua hills weka huko, tukaingia dancing floor!! Kula muziki mama sahau all hustle!!!! Mpaka tunaondoka tukapekua mpaka lodge. Yaani tulipofika tulichekaa but was unforgettable trip!!!

I miss them ladies we shared memory.

Its good kujichanganya. Wahudumu WA pale white house hawakyamini tutaenda disco lile, walikuwa wakituuliza mara2 mbili mtaliweza!? Wanatuona washuaa

Ukitaka kuishi kwa Amani ya moyo uwe Flexible na mazingira yeyote.
BE POSITIVE

NURU THE LIGHT said...

Lovet u sana bintinyota yaani fomula ya maisha ni hiyo..,
You are welcome my anonys