Genuine Nordic Vodka
Monday, March 6, 2017
WE HAVE FAILED YOU DIANA!!!
Hakuna Miss Tanzania aliyepata au kuwa na wakati mgumu kama Diana.
Huyu dada tokea ushindi wake amekuwa akipitia mtihani baada ya mtihani.
CHA kwanza tu baada ya ushindi watu walianza kumuattack tena kukosoa rangi yake aisee watu weusi mnatia huruma kweli tena aibu yaani mnamtuhumu mweusi na muafrika tena Mtanzania mwenzenu,shame on you for that!
Cha pili ni mavazi na muonekano yaani inaonekana wazi kabisa kuwa huyu dada hajapewa support yoyote kutoka kwa kamati ya Miss Tanzania,Sad.
Zawadi zake mpaka leo hii hajakabithiwa jamani atawezaje kuishi kama a representative of Tanzania wakati nchi yenyewe imemtupa?
A miss lazima aandaliwe lakini huyu dada inaonekana wazi kabisa she is fighting Alone peke yake so muacheni awe na kiburi kwani ni frustration ya kuwa na Title halafu haina maana au kumpa maendeleo?
Kwanini tunakuwa na shindano AMBALO halimjali aliyeshiriki let alone mshindi wake?
Mnawashawishi vipi Wasichana kuja mwaka huu kama matokeo yake ndio hivi?
Diana my love kwanza kabisa wewe ni mzuri na cha pili We have failed you.
Tumekuangusha kama Mtanzania mwenzetu na Tumekuangusha kama binaadam mwenzetu.
Sikuji personalky lakin umeweza vumilia vingi na still kuweka kichwa chako juu like The Masai warrior that you are.
Diana you are a fighter and I wish you well huu ni mtihani tu kabla ya kile kikubwa ulichopangiwa,Nakupenda na Nakutakia mema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
9 comments:
Nilimsikia kwenye interview moja hivi nazani star tv hadi nilimuonea huruma.zawadi hajapewa hadi leo kweli jamani si myafute tu mashindano kama yamewashinda.Mungu yupo naamini atafika mbali Diana.
Huruma!
Hakuwatusi na nyoka ya kupenda tokea mwanzoni. Lakini alipoingia hakupata mafuno Jamani. Hata ongea yake HAIKO kumiss. Anaongea macho anageuza juu . Ila akitaka us hindi awe kimya
Huyu Diana si msimamizi wake alikuwa Hoyce Temu ..kwani nini mbaya iliyokea...manake hata kuvishwa nguo kipindi alipoenda kwenye mashindano ilikuwa avishwe na 'Linda aka mpekecha cherehani" ambae huwa ndio humshoneaga Hoyce...ghafla tukaona kagandana na Loveness Mamuya...sasa sijui yaliyojiri hapo akaishia kuvalishwa vituko na kuanza kuazima nguo toka kwa competitors wenzake. Duuh hata Mustafa designer baada ya mashindano kuisha na muda kupita akaanza kumdai amrudishie nguo yake alomwazima. Kwa kweli sijui kwa nini hawakumpa sapoti mpaka kina Faraja, Nancy Sumari ma kyln mengi walijikausha kutokumpa promo mpaka watu wakawasema ndo wakaanza kumrusha kwa shingo upande..one thing tho..huyu Diane ajifanya much know vibaya mnoooo yaani yeye ilikuwa kutukanana na kujibizana na watu insta...mara huna hadhi ya kunipigia kura, mara amsapoti mange wakati anarusha watu akiwaaibisha. Kilichomtokea ni sad story but...mmmmh hebu nae ajiangalie anakwaza watu na attitude yake mbaya. Hii issue ni wahusika wa Miss Tanzania wangeibebea bango...sasa sijui kwanini wamemwachia...sad.....PLZZZ IN FUTURE HAWA MA MISS WAPELEKWE KWENYE MAFUNZO YA KUBEHAVE KABLA HAWAJASANZA SAFARI YA KUIWAKILISHA NCHI OTHERWISE...MAJANGAAA KEDE KEDEEE
anon 10.52 imagine na jiweke kwenye miguu yake for a dakika,,
MTu kashinda tu anaambiwa mbaya n so forth by her own ppl ss jiweke ni wewe,,
kingine hakutakiwa kuwa yeye ana handle account zake tena kungekuwa na account za social media ambazo wapo watu wlnazisimamia ili eye awe anatayarishwa na sio kusoma maozo ya mitandaoni kwani yatamsumbua na mwisho wa siku kujibu ni wachache sana wasingejibu,,so muelewe kwenye hilo.
Hayo Mengine ndio mara yangu ya kwanza kuyasikia sasa nataka niongee kuwa huyu anasimama kama Tanzania so no matter what kama watu wanamatatizo yao hawakutakiwa kumuinvolve in their business she is a miss Tanzania FOR GODS SAKE so kama kamati ingemtendea haki basi haya yote yasingetokea,trust and believe!
Wotee tumemuangusha sio kamati tuu kwani Sitti alirudisha taji kwa makelele yenu so hata huyu tungetoa makesele yetu ingebidi tu wafanye kwani aibu ingewasuta kama kamati.
Na hao ma former miss nawaweka kiporo for another day kwani kwenye ukwell lazima tuwe wakweli,,let me sleep my people!!!
Nuru nakuelewa mno saaana tu....shida ni hatuna system inayoeleweka...hii ndo shida hata serikalini. Yaani kubadili chochote ni rahisi sana, first & foremost mara baada ya huyu Diana kushinda tayari kamati na management ya Miss TZ wangempa taratibu zooote zitakazofwata na in the process wangemfanyia orientation ya what to expect akienda majuu. Lakini Tanzania tunafanya mambo kiholela holela sanaaa mnooooo...na ntakwambia hawa waKenya washatusoma mpaka wakawa na kiburi cha kuiba documentary ya Missy wetu ...wamejua tu hakuna kitu kitakachotokea ni blahhhh blaaahhh za Kitanzania za siku mbili tatu na mitusi mitandaoni then kwishneeey!! Mmmmh sasa ingekuwa ni Miss TZ kaiba hiyo kazi toka kwa Miss Kenya....yaani hakuna rangi tusingeacha ona....manake Management yao wanachukulia mambo serious na wako commited kufanikisha...hv wapi umemwona Miss anaeazima nguo toka kwa mamiss wengine wakati wapo kwenye mashindano.....SISI WATZ NI MAJANGAA TU NA TUSIPOKUWA SERIOUS...HII MAMBO YA MZAHA MZAHA ITATUKOSTI HASWA....KWELI TUNATIA AIBU. Na hao mamissy waliopita wanajionaga kumpa promo miss mwingine mpya haiwahusu...yaani wana UBINAFSI WA KUPINDUKIA...yaani hawajui as simple COMMON SENSE KUWA...mmoja wetu kama Mtanzania Akishinda ni sisi wote tumeshinda na akiboronga ni hivyo hivyo manake anapromote NCHI AS A WHOLE...ona sasa mara Wakenya watuambie hatujaelimika etc...ni aibu kwa nchi nzima na sio mtu mmoja tu. TUJIFUNZE KUWA NA UMOJA KWA LOLOTE...HATA TUKIRARUANA NYUMA YA PAZIA LAKINI KWA MGENI/WAGENI LAZIMA TUONYESHE UNITED FRONT...Na ianze na kila mmoja wetu. I REST MY CASE....GOOD LUCK DIANE����
well said nuru
Mmmmmh from comment ya Annoy hapo juu, seems there is more to the story! and from the look wamentelekeza maksudi for selfish reasons! but Nuru in this life ppl will always talk,so watu wakisema wewe mbaya that's not suppose to make you go dig a hole and burry your self! an sure even Lupita huko aliko where some ppl are still racist anaipataga fresh but that doesn't make her take steps back! its logical that huwezi kukubalika na kila mtu, that's just how we are.
Na pis kama huyo miss ana bad attitude she better shape up coz its not gonna take her anywhere! otherwise if she qualified she deserves what they promised.
Asante Light.
Post a Comment