LES FRINGE SKIRT ON FLEEK.,
This one peace bathing suite was my first ever bathing suit to buy so it is more than 10 years old.,
hii swimming costume nlinunua miaka 10 iliyopita.
This fantastic place is located in Bagamoyo and it is a great place for everything whether to just go and have a swim,for conference,to stay at or just to relax and unwind.
Their menu varies from 3000 up to 50,000tz shillings depending on what you choose.
To swim at the pool is cheap but that goes for the whole Bagamoyo.
The pool is clean,The Decor on point and the whole place is top notch that i can guarantee you.
Hii sehemu iko Bagamoyo na kama nilivyowaambia huku kwenda kuogelea ni very cheap ukicompare na Dar es Salaam.
Chakula kama kawaida ni bei ila ni sehemu nzuri hata kwa mikutano au kwa mapumziko kwani ina mandar nzuri,bahari na pametulia.
Vyoo vyao vilikuwa visafi mpaka unaweza kutembea peku,an extra point for that maana hakuna kitu nachukia unaenda bonge la sehemu sasa nenda msalani mamaaa utajuta...
All in all kama utakuwa kitaa wape Hi kutoka kwa The Light.,
7 comments:
You is hot
da nuu ulipendeza kweli hasa na hiyo ya kuogelea
bado nasubiri utuambie weusi kwenye bikin line na kwapan
hIZI Reviews zako make me wanna go on vacation,Its nice will visit some time
asante da nuu
ngoja tujichange tuende na sie
#teamnuruthelight
Thanks Nuru alot ntaenda na family yangu nkienda Tanzania mdau from Oslo. Tusen takk.
Shukran kwa haya. Hata mie ugonjwa ni choo na usafi wa mazingira. Nilikwenda sehemu I nasifika kwa nyama choma . Tumefika basi nikajisikia haja ndogo. Jamani baadhi ya vyoo vya nyumbani vinakatisha tamaa.kuingia nimekuta mtu katenga mzigo. Yaani hata nyama sikula wakaibeba tukaondoka.
Mimi niko allergic na public toilets pamoja na kwamba niko kwa "Kibabu chizi" lakini hata huku sijaenda bado labda tumbo linizidie mno ni heri nikachafue gari nikalioshe nyumbani kuliko kuingia public toilet, sasa imagine bongo, nilipokuwa chuo nilikondaje maana duuh we acha tu.Mpaka nimekuwa bingwa wa kubana mkojo
Post a Comment