UNAAMBIWA UNAYECHEKA NAYE KWENYE RAHA KWENYE SHIDA ATAKUPA JERAHA,POLITICS MY PEOPLE!!!
THIS IS HOW IT ALL STARTED,,hii ndio Audio ambayo Steve na Mama Wema wakiongea.
Millardayo.com
2 comments:
Anonymous
said...
Steve anasema kurekodiwa ni uuaji. Kwahiyo anakiri hao viongozi aliowataja ni wauaji? Sidhani hii press conference imemsaidia. Kajichimbia shimo kubwa zaidi.
Nyerere kamaanisha kuwa kitendo cha yeye kurekodiwa na kusambazwa kwa hiyo Audio ndio mauaji when it comes to his career yake ambayo kaijenga kwa mda mrefu...

Post a Comment