Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, February 25, 2017

WHOM TO BELIEVE IS TOTALLY UP TO YOU!!!

Mimi binafsi ningeomba uache kutumia jina la mtu mwenye Sifa zake nzuri halikustahili kabisa.Hakuna sehemu duniani wasiomjua Nyerere so that is all I ask of you.Kingine at times kama utakuBali kuwa mjinga hayo ni maamuzi yako lakin the Audio says it all so huyu kufanya a pressconference sijashtuka i was actually expecting it so kama nilivyosema inafika wakati Ukweli unajitenga na nyie kama Watanzania still mnakubali  kuwa wajinga au kuubeba uwongo na kuutetea.
Sometimes vitu havitokei kibahati  mbaya bali mda wake umefika.
OH siasa,siasa itabaki kuwa siasa tu.

12 comments:

Anonymous said...

goodness huyu mama anapitia mengii mno na binti yake, Mungu azidi kumsimamia kwa yote

Anonymous said...

Yaani familia ya Nyerere waingilie kati asitumie jina lao kabisa kaniudhi mno anawavunjia heshima. Kesema mwenyewe yeye ni msanii how do we know kama na anachosema sasa ni usanii...CinTea

comfort said...

Hayo yote nimatatizo ya kupenda kuishi kiujanjaujanja hapa mjini lazima uwe muongomuongo.

NURU THE LIGHT said...

My Cintea ulikuwa wapiiiiiiii?
Abadilishe kwakweli atuachie baba wa Taifa wetu na heshma yake,,

anonymus said...

Mzazi unashirikiana na kuwadi wa mwanao...balaa!mwamini

Bintinyota said...

Tobaaa!!!
Nilihisi huyu binti maybe alitongozwa why iwe big dill that much?

Hehehe asante mitandao.
Aibu kwa kiongozi!!! Duh!!
Ndo tutaenda kwa visasi?

Bintinyota said...

Hiii serikali kiboko.
Aibuuuuu

Lol!!! Madereva hatari

Bintinyota said...

Nimempenda mama kusimamia nyota ya mwanaye itashushwa na Mungu.
Wazazi wanatakiwa watusimamie wasife moyo!!!

Bintinyota said...

Siasa mchezo mchafu lol!!!!
This is why I hate politics.

Maana simalizi drama hii kuisikiliza

Bintinyota said...

Nuru simalizi.
Pesa mbaya.
Siasa mbaya.
Yaani ndo kujisafisha huko?

Duh!!!
Kwa hiyo unamhusisha Mungu ktk unafiki. Why umrishe mja kwa kumshirikisha Mungu!!!
Mxxxxxxx

Bintinyota said...

Hehehehe so is true ulipita kwa watu?
Ushajichanganya. Lol

Anonymous said...

Nisamehe bure my dear nimekuwa busy kweli, halafu nimekununia hurudi unakula raha tyu bongo sie twafa na baridi aafu ile wazadi ikwapi tena vile tehe teh. Ila umeenda bongo wakati mtamu unatupasha habari kama reuters!!