Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, February 16, 2017

OH DEAR!!!





AM,CINTEA,MWAMINI,COMFORT,SUU,BINTINYOTA,WINNIE JAMANI MPOOOO!!

5 comments:

Bintinyota said...

Duuuuh!!!!
If true, keep going broad!!!
Show love to the gift from Allah, your son!!! The best friend ever

comfort said...

NIPO DA NURU.HIYO PIC YA MWISHO SIJAIELEWA JAMANI!!

Anonymous said...

Mmmmmmmh naona mapicha picha mwenzenu mbona sielewiiii, hivi huu wimbo aliimba nani vileeeee. Poor Barnabas, ila hatujui nani mkweli maana huko insta kila mtu anamtetea wake. Mungu awasimamie. Winnie

Cute Olive said...

jamani mapenzi kigeugeu ngachoka

Anonymous said...

STORY YA ZAMANI IMECHELEWA ILA NDO HIVYO TENA
Mapenzi kizunguzungu.
Mtalaka wa Barnaba au mama Stev.
Tulikwendaga ktk ukumbi fulan .Hapo Barnaba alikuwa anatumbuiza .a kaja mbele mdada ....AKAGEUKA nyuma na kucheza na barnaba . Mama Stev aliniuma na chupa ya win a Kampala uson. Tulistuka basi sie tukamsindikiza polisi . Basi ni zaid ya mwaka nadhani . Ndo akamwacha mtt kwa barnaba mpk leo. Anaranda na wata.