Anafanya kazi kwa SIFA ndo anachokosea. Sijui kama sheria in Asema mtaje mtu kwa kosa lake ktk vyombo vya habari au? Kingine haja fanya uchunguzi a namwita mtu tu awe katajwa hilo ndo kosa. Kuna kutajana kwa ukweli na kwa chuki. Hata watoto wadogo waki cheza hukosa na na wako wanaoendeLea kusema yule nilikianza nae. Je sie wakubwa. Sasa ndo kama sha waolaka na Nchi yetu inaenda kidikteta. Ukiwa mfanyabiashara biashara na MAFANIKIO umekwisha
Yaani, hii investigation ni ya ajabu sana. Natumaini kwamba wenyewe wanajua tusiyoyajua. Na sio based on hearsay only. Truly the innocent will be traumatized by all this. I pray for God's wisdom going forward, MissY.
3 comments:
Anafanya kazi kwa SIFA ndo anachokosea.
Sijui kama sheria in Asema mtaje mtu kwa kosa lake ktk vyombo vya habari au?
Kingine haja fanya uchunguzi a namwita mtu tu awe katajwa hilo ndo kosa.
Kuna kutajana kwa ukweli na kwa chuki.
Hata watoto wadogo waki cheza hukosa na na wako wanaoendeLea kusema yule nilikianza nae. Je sie wakubwa.
Sasa ndo kama sha waolaka na Nchi yetu inaenda kidikteta.
Ukiwa mfanyabiashara biashara na
MAFANIKIO umekwisha
Yaani, hii investigation ni ya ajabu sana. Natumaini kwamba wenyewe wanajua tusiyoyajua. Na sio based on hearsay only. Truly the innocent will be traumatized by all this. I pray for God's wisdom going forward, MissY.
Kuna kitu hakiko sawa. ila ukiongea sana nchi hii unaweza ukaishia jela ni bora nijinyamazie zangu.
Post a Comment