niiona kipande cha wendy williams akimsema koko kuwa anadanganya wantu eti body yake ni ya mazoezi wakat alifanya na plastic surgery ila m nahisi kweli da nuu mana huwez niambia kuwa flat tumbo lije by mazoez tu, kama sio kudo mazoezi miaka hata 5 na kuendelea ndio waweza kupata celebrity hawako truthful jmn hilo ziwa je? tako nalo? pua je? na midomo pia? by mie suzana
na pia huyu kama nilivyowahi kusema yeye na mdg wake kylie watawahi kuzeeka coz skin zao ni mbaya means wana skin ya kuwahi kuzeeka ili mnielewe iko hv kuna watu wana baby face eg kim,ariana grande,lulu, yani face zao sio ya kuwahi kuzeeka ukimsimamisha kim na koko, koko anaonekana mkubwa kuliko kim wakati kim ni mkubwa by suzana
with all them surgeries, all those nip and tucks she did still is a VERY AVERAGE LOOKING WOMAN!!! poor koko, i like her personality tho!!! yule mdogo kabisa sijui kylie yeye ndo atazeeka mapemaaaa atawaacha dada zake
Jamani Koko anajifuwa sii mchezo , Kloe anafanya sana mazoezi, yani serious revenge body No jokes na huwa ajoki kwenye tizi. Ata kama kuna ufundi wa pua na midomo lakini huyu dada katika mazoezi something else!!!!! AM.....
Aaah guys!! Kloe yuko Open she did hizo surgery yes kwa face but kwa hii revenge body? I believe mazoezi works na tusiandikie mate!!! Kipindi kitaonyesha pia japo cheating uwa zipo hata za pills muhimu umefikia golls
10 comments:
With her revenge body
niiona kipande cha wendy williams akimsema koko kuwa anadanganya wantu eti body yake ni ya mazoezi wakat alifanya na plastic surgery
ila m nahisi kweli da nuu mana huwez niambia kuwa flat tumbo lije by mazoez tu, kama sio kudo mazoezi miaka hata 5 na kuendelea ndio waweza kupata
celebrity hawako truthful jmn
hilo ziwa je?
tako nalo?
pua je?
na midomo pia?
by mie suzana
na pia huyu kama nilivyowahi kusema
yeye na mdg wake kylie watawahi kuzeeka coz skin zao ni mbaya
means wana skin ya kuwahi kuzeeka
ili mnielewe iko hv kuna watu wana baby face eg kim,ariana grande,lulu, yani face zao sio ya kuwahi kuzeeka
ukimsimamisha kim na koko, koko anaonekana mkubwa kuliko kim wakati kim ni mkubwa
by suzana
with all them surgeries, all those nip and tucks she did still is a VERY AVERAGE LOOKING WOMAN!!! poor koko, i like her personality tho!!! yule mdogo kabisa sijui kylie yeye ndo atazeeka mapemaaaa atawaacha dada zake
yaani yule kylie shes barely 20 and she already looking like a 40 yr old pornstar,damn shame
Jamani Koko anajifuwa sii mchezo , Kloe anafanya sana mazoezi, yani serious revenge body No jokes na huwa ajoki kwenye tizi.
Ata kama kuna ufundi wa pua na midomo lakini huyu dada katika mazoezi something else!!!!!
AM.....
Wendy Wiliams, na jealous go kill her ooh
AM....
Bintinyota ,😘😘😘😘😘
Ndio maana yake..
AM....
Aaah guys!!
Kloe yuko Open she did hizo surgery yes kwa face but kwa hii revenge body? I believe mazoezi works na tusiandikie mate!!! Kipindi kitaonyesha pia japo cheating uwa zipo hata za pills muhimu umefikia golls
Hata kama kafanya mwili nzima, but na zoezi anapiga.
Post a Comment