hongera zao, ila hizi picha hizi jmn ndio mana watoto siku wanapiga picha za utupu, mana toka tumboni alishawekwa wazi kwa mapicha kama haya watz na wengine wote tuacheni hzi za kuiga hawa watu maarufu wanafanya ili kumaintain status zao kwa jamii, na ili jamii wapate la kuongea na wao mkono uende kinywani mana wenzetu wanalipwa kwa hz picha sasa ukija kwa sie akina fulani mnapiga tu bila hata ya kujiuliza kuwa unamtengenezea mazingira gani mtt aliyeko tumboni hiyo n baraka acheni mambo ya kuwaanika viumbe ambao hata hawajafika kwa dunia hii, mwenye ufahamu amenielewa by suzana
3 comments:
Mungu akujaalie ufike salama safari yako
hongera zao,
ila hizi picha hizi jmn
ndio mana watoto siku wanapiga picha za utupu, mana toka tumboni alishawekwa wazi kwa mapicha kama haya
watz na wengine wote tuacheni hzi za kuiga
hawa watu maarufu wanafanya ili kumaintain status zao kwa jamii, na ili jamii wapate la kuongea na wao mkono uende kinywani mana wenzetu wanalipwa kwa hz picha
sasa ukija kwa sie akina fulani mnapiga tu bila hata ya kujiuliza kuwa unamtengenezea mazingira gani mtt aliyeko tumboni
hiyo n baraka acheni mambo ya kuwaanika viumbe ambao hata hawajafika kwa dunia hii,
mwenye ufahamu amenielewa
by suzana
I love her pregnancy photos, especially the last one. So beautiful, MissY.
Post a Comment