Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, November 6, 2016

SUNDAY BRUNCH KINDA LOOK,THE DASHIKI!!!






THEN CAME THE RAIN SO THESE WERE THE ONLY PHOTOS TAKEN,,
MARA MVUA IKANYESHA BASI TENA IKABIDI TUMALIZIE SIKU NYINGINE,,

9 comments:

Bintinyota said...

I love MTU akivaa hizi dakish, but me labda niwe size 10. Hujiona kama kipipa lol

NURU THE LIGHT said...

Hizi zinakuwaga big size mm hapo nimevaa Large hizi zinampendeza mtu yoyote

Anonymous said...

Mimi nazipenda kweli dakish...Nuru fanya kweli moja...😍😍
You look so good 😘
AM...

Anonymous said...

Mimi nataka hiyo hiyo Large tena kama hiyo kwenye profile pic yako .... hahahahahahahahah ukizifuma nitafute
Very casual ....
AM....

Bintinyota said...

Its true, mdogo wangu kaja kaivaa na jeans, Masha'Allah na vile ni Twiga imempendeza, Mimi ntasubiri nikifika size 10. Hihihihi

Tabi said...

Mara ya kwanza nilipovaa yangu nilijiona kama nimevaa mfuko(plastic bag lol)..labda inategemea umevalia na nini,nilivaa na skin tight

Anonymous said...

hahahahahahahahah!!! Tabi umenivunja mbavu eti plastic bag, bora Bintinyota anasubiri mpaka afike size 10
Mimi navaa size 14 europe size 10 US....lakini who cares nitabanana umo umo... Raha jipe mwenyewe Bintinyota
AM...

NURU THE LIGHT said...


SASA AM NIKUPE HII KAMA ZAWADI YAKO I NEED AN ADRESS NA SIZE LARGE AU NIWE NIMEMALIZANA NA WEWE MAANA HUKUWEPO KWENYE SHINDAN ILA WW NI KOMENTA MZURI,,
NAOMBA JIBU SIZE,WHERE NA RANGI NI A BIT TRICKY Nasubiri jibu na koment sitoirusha usijali,,kwa AM

Tabi nikitulia tutaongea you desrve something special,,,
YAANI NYIE MMEPINDAAAA HAHAHAAHAHAH!!

anonymus said...

Dashiki haimtupi mtu..!mwamini