hahahahahahahahah!!! Tabi umenivunja mbavu eti plastic bag, bora Bintinyota anasubiri mpaka afike size 10 Mimi navaa size 14 europe size 10 US....lakini who cares nitabanana umo umo... Raha jipe mwenyewe Bintinyota AM...
SASA AM NIKUPE HII KAMA ZAWADI YAKO I NEED AN ADRESS NA SIZE LARGE AU NIWE NIMEMALIZANA NA WEWE MAANA HUKUWEPO KWENYE SHINDAN ILA WW NI KOMENTA MZURI,, NAOMBA JIBU SIZE,WHERE NA RANGI NI A BIT TRICKY Nasubiri jibu na koment sitoirusha usijali,,kwa AM
Tabi nikitulia tutaongea you desrve something special,,, YAANI NYIE MMEPINDAAAA HAHAHAAHAHAH!!
9 comments:
I love MTU akivaa hizi dakish, but me labda niwe size 10. Hujiona kama kipipa lol
Hizi zinakuwaga big size mm hapo nimevaa Large hizi zinampendeza mtu yoyote
Mimi nazipenda kweli dakish...Nuru fanya kweli moja...😍😍
You look so good 😘
AM...
Mimi nataka hiyo hiyo Large tena kama hiyo kwenye profile pic yako .... hahahahahahahahah ukizifuma nitafute
Very casual ....
AM....
Its true, mdogo wangu kaja kaivaa na jeans, Masha'Allah na vile ni Twiga imempendeza, Mimi ntasubiri nikifika size 10. Hihihihi
Mara ya kwanza nilipovaa yangu nilijiona kama nimevaa mfuko(plastic bag lol)..labda inategemea umevalia na nini,nilivaa na skin tight
hahahahahahahahah!!! Tabi umenivunja mbavu eti plastic bag, bora Bintinyota anasubiri mpaka afike size 10
Mimi navaa size 14 europe size 10 US....lakini who cares nitabanana umo umo... Raha jipe mwenyewe Bintinyota
AM...
SASA AM NIKUPE HII KAMA ZAWADI YAKO I NEED AN ADRESS NA SIZE LARGE AU NIWE NIMEMALIZANA NA WEWE MAANA HUKUWEPO KWENYE SHINDAN ILA WW NI KOMENTA MZURI,,
NAOMBA JIBU SIZE,WHERE NA RANGI NI A BIT TRICKY Nasubiri jibu na koment sitoirusha usijali,,kwa AM
Tabi nikitulia tutaongea you desrve something special,,,
YAANI NYIE MMEPINDAAAA HAHAHAAHAHAH!!
Dashiki haimtupi mtu..!mwamini
Post a Comment