kwa barafu hiyo kweli mtakuwa mnafreez mbaya...mimi nilipandisha mlima Kilimanjaro hilo baridi la pale kwenye barafu nilikoma..natamani siku moja niishi kwenye hali kama hii ..
You have no idea how I needed to here the words on your caption. Had the most discouraging day and it is only 1pm. I felt a sense of relief just reading them. Asante for the time you dedicate into this blog. Nashukuru. :(
Ata Mungu kasema kila mwenye kusubiri yuko karibu naye. Inaahilah Wamasubhilinah!!!!! Insh'Allah Mungu atatutilia wepesi sisi wote wenye kusubiri ..... Single with no kids no husband , current situation not even a boy friend.. hahahahahahahah!!!!! Thank God.... Not that much desperate....am cool AM....
12 comments:
Maneno hayo Nuru..duh hilo baridi si lamchezo
Nice pics as always..
ur beautiful Nuru mungu na aendelee kukubariki , ila hilo baridi mi ningezimia aiseee naogopa baridi balaaa --ambutterfly
Picha nzur umependeza
Poleni kwa snow jamani
umependeza sana Nuru sipati picha hiyo snow duh poleni sana
kwa barafu hiyo kweli mtakuwa mnafreez mbaya...mimi nilipandisha mlima Kilimanjaro hilo baridi la pale kwenye barafu nilikoma..natamani siku moja niishi kwenye hali kama hii ..
You have no idea how I needed to here the words on your caption. Had the most discouraging day and it is only 1pm. I felt a sense of relief just reading them. Asante for the time you dedicate into this blog. Nashukuru. :(
Ur welcome binti sheria na keep ur head up he listens to prayers..
Ahsanteni wapendwa tukomae nalo tyuu
Ata Mungu kasema kila mwenye kusubiri yuko karibu naye. Inaahilah Wamasubhilinah!!!!!
Insh'Allah Mungu atatutilia wepesi sisi wote wenye kusubiri ..... Single with no kids no husband , current situation not even a boy friend..
hahahahahahahah!!!!! Thank God.... Not that much desperate....am cool
AM....
Hahaha hahaha AM umepindaaa lol
ahsante kwa ujumbe mzuri yaani umependeza na outfitnzuri na mandhari mazuri, natamani siku moja nione inakuwaje kwenye hiyo barafu
hahaha!! Nuru, usicheke bana. Ukweli unakufanya uwe free Mummy!!! All is well, life must go on...
AM...
Post a Comment