Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, October 10, 2016

WORTH TO THINK ABOUT!!!


7 comments:

Juce said...

Evil prevails when the good do nothing...

Anonymous said...

Sio tukio hili tu mambo meengi yanatokea watu wanaangalia hawajigusi tumekuwa kitu cha ajabu kwakweli, we need to take a look at ourselves and make a change, who are we to be blind pretending not to see? Michael Jackson was very wise na wimbo wake...CinTea

comfort said...

Mama yangu aliibiwa pesa zote kariakoo kaenda tu kujisaidia ile anatoka tu nje mtu akampiga nakumwangusha chini akaondoka na pochi kulikuwa na wanaume watatu hata hawakujigusa na alivyibiwa wakaanza kumsifia mwizi tunamjua huyo ni kibaka wa siku nyingi.mji huu unauwawa na watu wanakuangalia wala hawajigusi.Bible inasema siku za mwisho watu watajipenda wenyewe na upendo utapoa ndo yanayotokea nwdys watu hawajal kabisa.

NURU THE LIGHT said...

Ila kuwavua wanawake nguo hadharani na kuwadhalilisha hilo wanaweza,,mxiuuuu!

Anonymous said...

Hii inadhihirisha kweli wanaume wa Dar wengi ni wanaume suruali, wapakaa poda na caro light, kutwa kula chips zege saa ngapi wataweza kurusha hata ngumi. Hivi ingekuwa ndio kule kwetu unyamwezini au kwa majirani zetu kinangosha huyo scorpion saa hizi tungekuwa tumeshamuongezea jina jingine mwanzo wa jina lake lile linaloanziwa na herufi M, na tungekuwa tumeshamsahau. Yaani walishindwa hata kummwagia mafuta ya moto kabla hajamdhuru mwenzie kiasi hiki. Kwakweli kila nikitafakari hili swala la bwana Said nabaki tu kumuomba Mungu ampe faraja...TNS

Anonymous said...

Yaani Nuru umesema la kuwavua nguo wanawake na kuwadhalilisha hahaa hilo wanaweza, washe...nzi hawa. Kwa kuwa wamesha jua mwanamke ni dhaifu, ila matukio ya wanaume wenzao wanashidwa kukabili kama si kuyakabili, wadhaifu wakubwa hawa huwo uwanaume wao ni suruali tu. Mxiuuu!!!

Anonymous said...

Kweli ni wanaume suruali, hata mimi nilishangaa nilivyoambiwa katikati ya watu mtu anachomwa kisu, anavutiwa barabarani, anatobolewa macho watu wanashuhudia????? kweli siku za mwisho zinakaribia.