Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 9, 2016

PRAY FOR HAITI!!!


Hurricane Mathew imeanza Haiti going to North Carolina Na Florida,Marekani.
Niliona watu wakishaanza ku evacuate maeneo hayo,poleni sana ndugu zetu mliopo miji hii ilopata majanga,,
Watu 900 wameshapoteza maisha Haiti kwa ripoti ya Reuters
Kweli nature ikikasirika huwa haina huruma,Pray for Haiti.
New York Times, BBC, reuters

5 comments:

Anonymous said...

Nimeona kama wamesema imepungua kuwa category one ila tuwaombee sana wote Haiti wanakumbwaga na majanga makubwa sana. This time mpaka Disney walifunga sio mchezo...CinTea

Anonymous said...

Praying for Haiti... This is too sad may God be with them.
T

NURU THE LIGHT said...

Duh mpaka Disney walifunga basi hatari mnooo n yes huwa wanakumbwa sana na majanga mungu awasimamie

anonymus said...

MwenyeziMungu Awape heri itokayo kwake.Amin!mwamini

comfort said...

Mungu awasaidie wenzetu.