Mmmh mimi hiyo sherehe inanitishaga, hivyo vinywaji..!
ha ha ha ha ha ha Nuru kweli huu mtihani...utavaa namba 2
vaa picha ya nne utapendeza kweli hasa ile ya kichwani kama catwoman
Ahsanteni kwa tips,,Grayce ni dam feki hahaha usiogope dear
Huwa napenda cat suit...LOL!!!AM...
eti wanasema ni sherehe ya wachawi. ni kweli jaman?
Duniani kweli kuna mambo, mie naona wananitisha tu maana kila unapoingia full mipicha na minyago ya kutisha...TNS
Post a Comment
7 comments:
Mmmh mimi hiyo sherehe inanitishaga, hivyo vinywaji..!
ha ha ha ha ha ha Nuru kweli huu mtihani...utavaa namba 2
vaa picha ya nne utapendeza kweli hasa ile ya kichwani kama catwoman
Ahsanteni kwa tips,,
Grayce ni dam feki hahaha usiogope dear
Huwa napenda cat suit...LOL!!!
AM...