Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 26, 2016

ANITHA OWNER OF THE BLOG CALLED ANITHA!S CLOSE!!!
 SHE REALLY ROCKED THE MAXI DRESSES VERY WELL DURING HER PREGNANY.

 THESE FLARE DRESSES ARE TO DIE FOR,,
 MY PERSONAL FAVOURITE BY HER,,


ANAITWA ANITHA MAMA WATATU,MKE,FASHION BLOGGER NA STYLIST,,
NI MMILIKI WA BLOG INAYOITWA ANITHAS CLOSET NA CORPORATE LOOKS YUKO VIZURI SANA FOLLOW HER ON INSTANGRAM UPATE INSPIRATION.

4 comments:

Winnielicious said...

huu ndio mfano wa kuigwa..kwanza anajikubali jinsi alivyo ...anajipenda...na always anavaa very decent..she is a real Woman

Cute Olive said...

Nampenda sana Anitha! na style zake nzuri anapenda sana African Prints!

happie said...

i do follow her yuko vizuri kwakweli...
na anajua...

Anonymous said...

Asante Nuru kwa kumleta hapa bonge mwenzangu wacha nikapate idea ya mavazi...TNS