Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, October 3, 2016

WELL DONE TANZANIA AND WELL DONE FELLOW ARTISTS FOR MAKING GOOD MUSIC.STARTED FROM THE BOTTOM NOW,,!

5 comments:

Anonymous said...

Hapa nimemfurahia zaidi Raymond na Yamoto wengine nimeshawazoea, Ray kwenye Salome kanifurahisha parts zake alizoimba the first verse na pale anaposema yeye nyang'anyang'a those vocals reminded me of Salif Keita kwa mbaali...CinTea

Anonymous said...

Hongera zao tungeacha mambo ya uteam usiokuwa na viwanja vya mazoezi hizo tuzo zote zingerudi home. Mungu baba tusaidie kituamsha kwenye huu usingizi mzito wa ujinga. Haya mie nitawapigia wote. Tea no sugar

Anonymous said...

Mdada Tea no Sugar kama habari ya team unaongelea nilichoandika you are very wrong. Ukisoma vizuri nimesema nimemfurahia zaidi Raymond na Yamoto kwakuwa ni new comers. Waliobaki wote wamezoeleka kwenye tuzo. Ray kaanza kujulikana hardly a year so it's a big achievement kwake na ndicho nilichofurahia same as Yamoto. Mambo ya team yanawenyewe and I am too old for that. Kama hukumaanisha kuongea nilichoandika niwie radhi kwa kutoelewa kwangu...CinTea

comfort said...

Tanzania tuko vizur nowadays,Mungu awasimamie warudishe heshima home.mapepo ya team flan sijui team nani yashindwe kabisa.sisi ushindi tu.

Bintinyota said...

All the best to all.
The winer will be Tanzanian we proud