Genuine Nordic Vodka
Monday, October 3, 2016
BALOZI WA MTI WANGU CAMPAIGN!!!
AT PAUL MAKONDA!S HOME WITH HIS WIFE,,
BEFORE AND AFTER
Ninacho mpendea Yuda ni kuwa anajali sana sehemu anayoishi,,
Nawashangaa wanaomsema eti kwavile kapangisha then asijali sana kupatengeneza oh really๐๐
Kwa hilo ntampa pongezi halafu ni msafi,her home is always clean
Kuna watu wana vaa na kupendeza wanaume na wanawake ukiwaona nje lakin nyumba zao hazitamaniki,,
Kuna watu wanapost mapicha wakiwa sehemu nzuri na kupendeza fanya misstake nenda kwao ujionee,,๐๐๐๐ณ๐ณ
Whether nyumba ni yako umejenga au unapangisha jali unapokaa no matter what,,
Usafi na mazingira is very importanto hata kama unaishi nyumba ya udongo,,
Mtu ana invest na kununua gari la million 20 wakati kwake sofa la laki mbili hakalii aisee kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana ili mradi tu nje waonekane matawi flani amazing wakati you can be amazing hata kwenye udongo house,,
Ishi maisha unayoweza kuyamudu kwa hali yako na kwa raha zako,,
Wanadamu husemwaa tuu but dont let that effect you,,
Kuishi kiuhalisia kuna raha yake bwana so kutengenezesha nyumba,chumba hakihitaji mamilioni Bali kinahitaji Ubunifu,nimemaliza.com!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
Anajipenda sio mchezo kuanzia mavazi hadi anapolala, kwa hili namuadmire ninauhakika hata angekaa kwenye nyumba ya nyasi lazma angeitengeneza to her standards ngoja ni desedese kidogo...CinTea
Kwakweli kwa hilo hata mie nampongeza sana. Inaonekana anajielewa ukimfananisha na wengine...Tea no sugar
Kusema kweli Yuda ni msafi sana.Pongezi zake ni kweli watu wengi wanazani nyumba ya kupanga hatakiwi kuirembesha au kuipenda.japo kuwa wenye nyumba wengine wanaboa sana umeshaitengeneza nyumba vizuri imekuwa safi anaanza mbwembwe nayo inakatisha tamaa pia.
Wengine utawasikia ooh hapa nimepanga nikijenga nitaipamba nyumba yangu.aah wapi!kama unashindwa asubuhi jioni hautaweza.cha msingi tujitahidi kubadilika. !
Hahahahaahh anonymous kama umeshindwa asubuhi jioni hautaweza ahsante hatarious hahahaha 100percent fact
kweli tumpe hongera.........color change tu imefanya paonekane like a whole different sitting room.
T
Post a Comment