Waache show offs za kijinga...watu wanahali ngumu hawa wanaonyesha mara pesa madolari mara migold chain...hata huko kwa Madiba Zari kaibiwa handbag...sasa hivi ni kuwa makini...majambazi wanawatafuta TARGET WAO...insta na Snapchat siku hizi..im an straight talker sipindi pindi...HABARI NDO HIYO...mtie akili hali ngumu kimaisha sasa hv...na msinambie work hard...there no jobs either..so hizi show offs sio nzuro mitandaoni
3 comments:
Sad Wallah.
Alhamdulillah watu wako OK.
Vitu tunatafuta tu
ooh dia so sad. Kweli ulivyosema Bintinyota bora uzima, vitu vitanunuliwa tu na nyumba itajengwa nyingine. NURU niko Tanzania - Arusha.

Post a Comment