Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, September 19, 2016

THE DAY THAT I WAS INTRODUCED TO BLACK NINJA AND AN UNDERCOVER BROTHER NAMED MIKEY MIKE!!!


FINALLY AM HERE,,


 Haya makucha ni sheeeeeeeeeedar oh god,,,
Mazoezi,mazoezi,mazoezi ndio sera ya leo,,
 WHILE I WAS MINDING MY OWN BUSINESS,,


 CHIEF COOKER DID HIS THING,,
 BLACK NINJA,, SKIA MIMI SIKWENDA CHINA KUSHANGAA MAGOROFA,,HAHAHHAH!!


Sometimes vile vitu hujaplan vinatokea tuu ndio vinakuwaga the best,,
kwa mfano hii siku nlifika hii venue late but nilienjoy sana tena mnooo,,
Sometimes Watu wanaokujali the most huwaoni na kuwathamini bali unamfuata asiyestahili
Sometimes vitu unavyotakiwa kuvipa mda na attention unavineglect,,
Sometimes unaput energy na kupoteza mda na vitu ambavyo sio muhim kabisa maishani mwako
Sometimes unavipa vitu nafasi visivyostahili na kukupotezea mda au muelekeo sahihi,,
Sometimes unampa mtu mwili,moyo,attention kwa mtu ambaye hastahili kabisa,,
Sometimes unamnyima ndugu yako wa damu na kumpa rafiki ambaye hastahili,,
Sometimes unamthamini mpenzi au mume au mke ambaye hastahili,,
Cha msingi na muhim ni kujifunza pale ulipokosea na kujua nani wa kumfanyia,kumtendea,kumthamini,kumjali,kumuheshim,kumlinda,kumpenda na mengineo.
At times watakuja watu maishani mwako wasiostahili Ila waliletwa kukufunza kitu na kujua kipi unahitaji ambacho Unastahili,Nimemaliza.com!!

7 comments:

Anonymous said...

Kijunguuuuuuuuu Nuru mama weeee

anonymus said...

Kuongeza maneno hapo juu ni sawa na kunyunyizia mafuta ya taa kwa pilau...exactly.!mwamini

Anonymous said...

Mtoto unakamwili katamuje

Anonymous said...

Your body is banging dah the light na mimi naanza

Anonymous said...

Una kashepu kazuri my dear sisi wengine haya ma diet mweeh na kula tunapenda

NURU THE LIGHT said...

Thank you all bado nnaendelea na mazoezi maana kuna wakati nlijiachia mno na results takes time kuziona so usikate moyo endelea tuu,,

Anonymous said...

hahah u crazy ppl..striptease and wildin out without me?? love u bobooo kittyyy/ rojiiiiin