SHOES;ZARA
BAG;DKNY
TOP:HM
SKIRT:BIK BOK
HOOPS;PRIMARK HIZI HERENI NIMENUNUA CJUI POUND MOJA NA NUSU NAZIPENDA NI KUBWA HALAFU ZIKO SO LIGHT SI NZITO KABISAAAA
REMEMBER YESTERDAY I SAID IF I TOLD YOU HOW MUCH MY OUTFI COAST YOU WOULD FAINT WELL I FOUND THE TOP AND THE SKIRT ON SALE,,
EVERYDAY I PREACH ABOUT KNOWING YOUR BODY AND WHAT FITS YOU,,
LEARN TO MIX YOUR WARDROBE WITH BOTH BRANDS AND HIGH END,,
EVERYDAY I TALK ABOUT NOT DEFINING YOURSELF OR YOUR STYLE THROUGH BRANDS RATHER THAN CREATE YOUR OWN PERSONAL STYLE THAT WORKS FOR YOU AND PLEASE DO NOT BE A SLAVE TO FASHION,,
LOOKING GOOD DOES NOT HAVE TO COAST YOU ALOT OF MANY,REMEMBER THAT!!
JANA NILIWAAMBIA NIKITAJA BEI YA OUTFIT YANGU MTAZIMIA NA SIKUWA NATANIA OK HII TOP NA SKETI ZOTE NILIZINUNUA ONSALE,,
NI KWAMBA BOTH TOP YANGU NA SKETI VIMENIKOST ELFU ISHIRINI YA TZSHILLINGS NDIOMAANA KILA SIKU NAWAAMBIAGA MSIJIDEFINE KWENYE MAJINA MAKUBWA YA NGUO BALI KUWA NA STYLE YAKO NA JUA MWILI WAKO,,
NIKITOA JACKET NA VIATU NA BAG AMBAVYO NI BEI KATOP KANGU NA KA SKETI BEI CHEEEEEE KABISA WE MWENYEWE UTANTAKAA UPO NYONYO,,
NA KINGINE KUWA NA CONFIDENCE BILA HICHO VAA HATA NGUO YA BILLION HUKU UNATEMBEA KAMA VILE UMEIIBA SASA STRESS HIZO ZA NN MAANA NGUO YAKO,WAINUNUA MWENYEWE HALAFU CONFIDENCE ZERO SI MAJANGA TYUU HAYO,JAMANI NIMEMALIZA MAANA UNAMKUTA MTU NYWELE KAMA KABEJ YA MIA TANO LAKINI ANA CONFIDENCE WE MWENYEWE UTAMTAKAA ISHA MASHAUZI SKUSKILIZI TENA MANENO HAYA NIMEYATOLEA WAPIIIIIIIII HAHAHAHAH OK BYEE!!
4 comments:
Elfu 20 dah umetisher da Nuru
Umependeza
You look beautiful and The mustard looks guda guda on ya
Stunning
Post a Comment