MDA HUONYESHA MENGI MWANZO WALIKUONA CHIZI KWA KUONGEA KUMBE ULIKUWA UNAGOMBEA TUU HAKI YAKO NA MPAKA SASA KUNA WATAKAOKUELEWA NA WASIOKUELEWA AND ONCE UKISHAELELEWA HICHO BASI HAWATOKUSUMBUA KICHWA HATA WAANDIKE NINI,,
BAADHI YA WANAOTETEA ESPECIALLY WANAUME NA WAO PIA HAWAJALI AU WALISHAKANA MIMBA ZA WANAWAKE WAO SO WAELEWE TUU,,
NA KAMA MWANAMKE ANATETEA BASI BADO HAJAJUA NA AOMBE YASIMKUTE,,
No comments:
Post a Comment