Linda's work is Excellent!! Outstanding!! Tatizo la Linda ni kutukanana kwenye social media!!!! Angeacha ingekuwa vizuriiii sana, maana huwezi mkuta Vera Wang anatukanana Instagram au Facebook!!! Wala huwezi kukuta Diane von Furstenberg Fashion Designer anatukanana na watu Instagram!! Hawa wako busy kutuletea mambo mapya na mazuriii hawana Muda wa matusi! Linda akiacha kuchambana kwenye social media itakuwa vyema sana sana sana focus yake iwe designing only.... Hayo mengine awaachie wasio na shughuli za kufanya!! Matusi yanarudisha maendeleo nyuma na yanapoteza mudaaaaa...Asante sana- nimeongea kiroho safi tu!
mmh hivi huyu dada yuko juu kiasi hicho? mmh basi hongera zake. mimi nilidhani ni wa kushinda mitandaoni na kujibizana mambo yasiyojenga kumbe kichwa chake ni zaidi ya mwendo kasi. i salute you LINDA. yaani you are burring them with success. uwiii where is my coffee??? its cold here.
4 comments:
Kweli huyu Dada deserves it yuko extremely creative...zaidi ya vurugu zake za mdomo za hapa na pale....I GIVE HER MY 100% RESPECT !!
collection yake mpya mamaaaaa nzuriiiiii sana tuwekee na hiyo the light
Linda's work is Excellent!! Outstanding!! Tatizo la Linda ni kutukanana kwenye social media!!!! Angeacha ingekuwa vizuriiii sana, maana huwezi mkuta Vera Wang anatukanana Instagram au Facebook!!! Wala huwezi kukuta Diane von Furstenberg
Fashion Designer anatukanana na watu Instagram!! Hawa wako busy kutuletea mambo mapya na mazuriii hawana Muda wa matusi! Linda akiacha kuchambana kwenye social media itakuwa vyema sana sana sana focus yake iwe designing only.... Hayo mengine awaachie wasio na shughuli za kufanya!! Matusi yanarudisha maendeleo nyuma na yanapoteza mudaaaaa...Asante sana- nimeongea kiroho safi tu!
mmh hivi huyu dada yuko juu kiasi hicho? mmh basi hongera zake. mimi nilidhani ni wa kushinda mitandaoni na kujibizana mambo yasiyojenga kumbe kichwa chake ni zaidi ya mwendo kasi. i salute you LINDA. yaani you are burring them with success. uwiii where is my coffee??? its cold here.
Post a Comment