Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, August 18, 2016

WATANZANIA WA CANADA WANAJINATA NA KUJISKIA SANA SIJUI WANAONA WAKISHAFIKA HUKO NDIO WAMETOBOA,THE BASE!!!

A VERY CHARISMATIC RICHARD WHO WON BIG BROTHER AFRICA SPEAKS ABOUT HIS UP COMING MOVIE,PROJECTS AND HIS FAMILY,,ENJOY!!
RICHARD ANA PERSONALITY NZURI NA NI MCHESHI SANA NA NDIOMAANA ALIWEZA KUSHINDA BIG BROTHER!!

1 comment:

Anonymous said...

Anaonekana kakasirika kuhusu watanzania wanaoishi Canada, angesema some watanzania, kwanza yeye mwenyewe amesema movie za bongo ni za chapchap kwahiyo I think Warwandaa na Wauganda wanapenda movie za bongo nafikiri kwasababu ya kiswahili chetu kina uzuri furani kama vile watanzania tulipokuwa tunaupenda mchezo wa Tausi wa kenya, au kwasasahivi nimeangalia Siri ya mtungi tamthilia ya bongo au vichekesho vya mambo na vijimambo au cheka na mimi nimeangalia kiasi lakini mchekeshani anaoneka wanajitahidi sana, au kwavile madairekta wazuri, na pia niliangalia about some of the actress and actors of siri ya mtungi ni wapya katika uigizaji.Pia sio movie za bongo tuu hata movie nyingine za kinaigeria ni za chachap. kwa mtu anayependa kuangalia movie huwa ngumu na nafikiri hiyo ndio sababu watanzania wengi hawakuja katika movie yako kufanya kazi thinking chapchap.And yes wapo,tupo ambayo tuko katika maisha duni but that has nothing to do with movies. I am glad that umesema movie yenu imechukuwa about mwaka na nusu kuifanya i can't wait to see it, all the best.