Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, May 3, 2016

LIONESS IS ON THE RISE!!!











NAKUMBUKA KUNA MTU ALIWAHI KUNIAMBIA KUWA UNAJUA NURU WEWE HUWEZI KUFANYA MAAMUZI MAGUMU HAHAHA I GUESS NI PALE MTU ANAUSEMA MOYO WAKO BILA KUJUA NAFSI WALA FIKRA ZAKO NA NDIOMAANA KUNA MSEMO UNAOSEMA USIEUSEME MOYO WA MWENZAKO BECAUSE THE ONLY  ASSURANCE ULIOKUWA NAYO WEWE KAMA WEWE NI MAWAZO YAKO BINAFSI KWENYE KILA KITU CHAKO NA SIO CHA MWENZAKO,REMEMBER THAT!!

SINCE HII POST ITARUKA BAADA YA SAA SITA LAZIMA NIIONGELEE HII SIKU KAMA YA JANA NA SIO LEO..
JANA NILIFANYA KITU AMBCHO SITAKUJA KUKISAHAU MAISHA YANGU YOTE,,
KILIHITAJI UJASIRI SANA BUT NILIWEZA KUKIKAMILISHA NA MWISHONI MWA MWAKA MTAJUA NI NINI KAMA BLOGU YETU BADO ITAKUWEPO,,INSHALLAH!!

KATIKA MAISHA NILIYOISHI SINCE MWEZI UJAO NITAZALIWA UPYA TENA NI HOW TO DEAL WITH BETRAYAL KUTOKA KWA WATU MBALIMBALI NILIOBAHATIKA KUJUANA NAO,,
KIUKWELI WAMENIFUNZA MENGI SANA ESPECIALLY KUHUSU MIMI KAMA MIMI,NI MTU WA AINA GANI NA HOW STRONG I AM NA HAPA LAZIMA MUNGU ASHUKURIWE,,
KIUKWELI WAMENIFUNZA NITHAMINI SANA MAISHA NINAYOISHI ZAIDI KWANI HATA KAMA KULIKUWA NA MDA NADOUBT KIDOGO BASI LEO SI DOUBT KABISAAAA,,
HAKUNA RAHA MAISHANI KAMA KUWA NA AMANI YA MOYO NA KUJUA KUWA ROHO YAKO NI NYEUPE JAPO MAISHA HUWA NA VITU TOFAUTI VINAVYOTUSIBU ILA USIKARIBISHE MBWA YOYOTE YULE ABADILISHE MSIMAMO WAKO ESPECIALLY KAMA UKO NJIA SAHIHI,,SIMAMA IMARA!!
WATAKUJA WANA NUKSI WAJARIBU TENA KWA SURA NZURI NA TABASAMU NZURI
WATAKUONGELESHA MANENO MAZURI NA KUSIMAMA NAWEWE UKIDHANIA NI WATU WAKO ILA LAA KAA UKIJUA NA KUKUMBUKA SURA YA SHETANI HAINA FORMULA KWANI HATA JIWE LAWEZA KUWA SHETANI NA UKALIKANYAGA NA KUWA NA KILEMA CHAMAISHA,,KUWA MAKINI!!
HUWA NATABSAMU NIKIONA NILIKOTOKEA MIAKA ILE NA MARAFIKI NILIOKUWA NAO ENZI ZILE NA NILIONAO SASA HIVI AISEE HAKUNA KITU KIZURI KAMA MUDA,,
MUDA HUTUFUNZA VITU VINGI SANA WHETHER KUHUSU KITU AU MTU,,
IKO SIKU NITAWAONGELEA ONE BY ONE MDA UKIFIKA BUT NOT TODAY,,
HESHIMU SANA MUDA NA KUWA NA SUBRA BUT MOST IMPORTANTLY KUWA MTU MWENYE MSIMAMO,SIMAMIA MISINGI YAKO, JITAMBUE,JIPENDE,JITHAMINI NA USIISHI KWAAJILI YA WATU AU THROUGH WATU BALI JIFUNZE KUSIMAMA WEWE KAMA WEWE MAANA TULIZALIWA WENYEWE NA TUTAKUFA WENYEWE SO CHA MSINGI JIHESHIM NA HESHIMU WATU,USIJUDGE,USIDHARAU, KUWA MWELEWA KUWA BINADAM TUKO TOFAUTI,JALI UTU NA THAMINI NA IPENDE FAMILIA YAKO!!!

4 comments:

Anonymous said...

I love you

NURU THE LIGHT said...


NAKUPENDA PIA,,

Anonymous said...

Thanks Nuru for the wise words. Tatizo huwa tunaishi kwaajili ya watu na wala sio kwa ajili yetu. Cha muhimu ni kuwacha kuwa bendera na kufuata upepo kila unapovumia, jiamini kuwa unaweza kwani unaweza kweli na pia mtangulize Mungu kwa kila jambo.

NURU THE LIGHT said...


kabisa mdau na karibu tena na tena,,