LEO NI VALBORG SIKU AMBAYO INASHEREHEKEWA KILA MWAKA AMBAPO TUTACHOMA MOTO LEO JIONI NA KUKUTANA NA WATU MBALIMBALI SEHEMU MBALIMBALI,,
VALBORG NI SIKU YA KUKARIBISHA SUMMER NA KUIAGA WINTER,,
VALBORG SYMBOLIZE WINTER!S LAST DAY TO WELCOME SPRING AND SUMMER
SASA HIVI TUTAKUWA NA MWANGA ZAIDI KULIKO KIZA NA HII NI TRADITION AMBAYO IMEKUWA IKIFANYWA KUTOKEA UJERUMANI,,
KIUFUPI TUNAAGA BARIDI NA KUKARIBISHA JOTO,,
PIA SIKU HII ZAMANI KULIKUWA NA IMANI KUWA WITCHES WALIKUWA WAKIFANYA MAOVU SO JAMII ILIKUWA IKITOKA NA KUCHOMA MOTO KAMA KUKEMEA NA KUWAFUKUZA,,,
YESTERDAY WAS MÖSSPÅTAGNING MEANING THE COLLEGE STUDENTS WHO ARE GOING TO GRADUATE PUT ON THEIR HATS AND IN JUNE IT WILL BE OFFICIAL,,
JANA WANAFUNZI AM SURE KWA WANAOKAA SWEDEN WALIWAONA JANA WANAFUNZI WENGI SEHEM MBALIMBALI WAKIWA NA FURAHA NDIO ILIKUWA SIKU YAO YA KWANZA KUVALISHWA HIZI KOFIA ZA GRADUATION AMBAZO WATAGRADUATE OFFICIALLY MWEZI WA SITA,,
HIYO NDIO TRADITION KUWA TAREHE 29 HUWA WANAVALISHWA KOFIA NCHI NZIMA OH GOD SIJUI YANGU NIMEIWEKA WAPI HAHAHAAHAH,,
No comments:
Post a Comment