Genuine Nordic Vodka
Saturday, February 20, 2016
SUBRA#PATIENCE!!!
HAWAKUKOSEA WALIPOSEMA SUBIRA HUVUTA KHERI,,
KUNA MWANAMKE DARASANI MWANGU WAKATI NAENDA COURSE YA ,,,,,, ALITUHADITHIA STORI YA YEYE NA MMEWE,,
ALIMSUBIRI MUMEWE KWA MDA WA MIAKA NANE MAANA WALIKUWA WANAKAA NCHI TOFAUTI AND MPAKA HII SIKU ANATUHADITHIA WAMEKUWA KWENYE NDOA YAO KWA MDA WA MIAKA 20,,
KUNA WAKATI UTAONA VITU FULANI KAMA VINACHELEWA BUT NO MDA WAKE HAUJAFIKA SO DON!T FORCE IT,,
NA KUNA WAKATI HAVIJI KWASABABU BADO HAUKO TAYARI UNAWEZA DHANI KUWA UKO TAYARI LAKIN WAPI,,
WAKATI UKISUBIRI JITAYARISHE KISAIKOLOJIA,JIJENGE,JIPE MOYO,JIPANGE ILI KIKIJA UWE TAYARI NA MJASIRI KUKIFACE.
SOMETIMES PIA WATU WANAOKUZUNGUKA NI NUKSI HAWAKULETEI MAENDELEO BALI WANAKUZIBIA NADAHAN MIFANO HAI MNAYO,,
AT TIMES KUWA PEKE YAKO NI UJASIRI AMBAO SIWEZI KUKUSIMULIA,,
UMOJA NI NGUVU ILA INA DEPEND NA KITU GANI KWANI SI KILA KITU UNAHITAJI MAKUNDI KUKIFANYA,,
AT TIMES WE GROW BEST BY OURSELVES,,
THAT IS WHEN WE KNOW HOW STRONG AND CAPABLE WE ARE TO FACE THE WORLD AND CHALLENGES,,
BEING BY YOURSELF YOU GET TO KNOW WHO YOU ARE,WHAT YOU WANT AND DON!T WANT IN YOUR LIFE,,
MSIOGOPE KUSAFIRI PEKE YENU,AU KUFANYA KITU PEKE YENU HUWA INAKUKUZA KAMA BINADAM NA KUKUPA EXPERIENCE
HATIMAYE SUBIRA HULETA KHERI BUT JE KHERI IKIJA JE WEWE UKO TAYARI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
Kweli kabisa Nuru usemayo Subira huvuta kheri kweli na kila kitu au kila jambo linakuja kwa wakati wake muafaka. Nakupa 99.9% kwa haya ulosema.
Thank you!
Duh yani I have been looking for the right words on emphasizing this self discovery journey...Nuru umemaliza sisemi zaidi.Leo umemaliza the best point since 2016 began. Love you lady
yaani Nuru we acha tu umenigusa mbaya ! wakati mwingine unajiuliza mbona hili haliji but tunasahau kujiuliza yale yaliyokuja bila sisi kutarajiwa
Huu ni mwaka wa 39 , Mungu kanipa vingi tu but Familia yangu Binafsi bado na sitaki kabisa short cut ya free stlye yaani kuzaa tu kwa kuwa umri unaenda , Naamini na kumuomba Mungu hili litimie kama alivyotuagiza , hope tuko wengi wa aina yangu ....tuombeane
Am with you Anon,,watu wengi sana wanaishi kwa ajili ya watu but not themselves
Wengine hawana hiyo LUXURY ya kuchagua ila kama nafasi unayo ishi vile unaona utaweza imudu situation uliyojipangia wewe na maisha yako kwani haya maisha ni yako tuu and nobody else!s,,ingekuwa kheri pale watu wangejua kuheshim na kujarib kuelewa maamuzi hutofautiana and its ok!
Leo umeongea points nzuri sana! I salute yu hun! Thanks
Post a Comment