Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, February 18, 2016

FINALLY HE IS HERE,WITH US LA FAMILIA!!!














JUMATANO ILIYOPITA MY UNCLE SAMUEL ALIPATA STROKE NA HJÄRNBLÖDNING MEANING KUNA UVIMBE WA DAMU KWENYE HIS BRAIN,,
SINCE DAMU ILIKUWA NYINGI SANA ILIBIDI WASUBIRI,,
TATIZO LILIKUJA PALE HAKUWA SWEDEN ANAPOISHI BALI NCHI NYINGINE Ndipo ALIPATA STROKE,,
JANA NDIO AMELETWA SWEDEN NA FLYG AMBULANS MEANING NI TEAM YA MADAKTARI WAMESAFIRI KUTOKA SWEDEN KWENDA KUMCHUKUA ALIPO NA KUMSAFIRISHA KUJA SWEDEN,,
SASA AMEWASILI NA BADO YUKO INTENSIVE CARE MPAKA UVIMBE UTAKAPOPUNGUA NA KUPATA FAHAMU,,

UNCLE HAONGEI WALA KUSEMA CHOCHOTE KWA SASA HE NEEDS TO REST YAANI ANAHITAJI KUPUMZIKA HUKU AKIWA MONITORED MAANA BADO HALI YAKE SIO ASILIMIA MIA,,

NINGEWAOMBA WATANZANIA AMBAO WANAISHI SWEDEN AMBAO WANGEPENDA MTEMBELEA HOSPITALINI  NA KUMJULIA HALI KWA SASA WASUBIRI MAANA ANAHITAJI KUPUMZIKA NA KURECOVER SO NAWASIHI KAMA MNA MASWALI ANDIKENI HUMU NTAWAJIBU ILA NAOMBA KWANZA APATE MDA WA KUPUMZIKA MAANA ALIPEWA MASAA 24 TU YA KUISHI BUT YUPO MPAKA SASA,,
AHSANTENI WOTE MNAONIANDIKIA FACEBOOK NA KUNITUMIA EMAIL KUJUA HALI NA KUMUWEKA KWENYE DUA NA MAOMBI YENU,,AS A FAMILY TUNAWASHUKURU SANA,ONE LOVE!!

11 comments:

Anonymous said...

Oh God!! Mungu ni mwema atamsaidia ata mponya kwa Nguvu zake...Allah Karim...poleni sana.
AM

NURU THE LIGHT said...



thank you!!

Anonymous said...

Oh no! Oh no! This is so sad! Pole Nuru sweety... Pole sana. Am sending you tons of well wishes... Mungu ampe wepesi na Amponye. Amin.

Anonymous said...

Polen sana,Mungu ni mwema anaweza yote,kama alifufua wafu huyo anko wako ni rahisi kwake kupona...mwaminin Mungu

Anonymous said...

MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA KIPINDI HICHI KIGUMU,NA INSHA ALLAH KWA NGUVU ZA ALLAH ATAMPONYA.POLENI SANA.

Anonymous said...

Inshallah Mwenyezi Mungu atamuinua na kumpa nafuu. Dua kwa wingi.

Anonymous said...

Pole sana nuru, pole uncle, Mungu ni mwena na atamfanyia miujiza. mwanadamu anaweza akakupangia masaa 24 ya kuishi ila Mungu akakupa miaka mingine 24 ya kuishi.

Anonymous said...

Poleni sana Nuru mungu ataleta rehma zake tunamuombea Uncle.

Yasinta Ngonyani said...

Salamu nyingi kutoka kwetu kama familia Pole zake nyingi sana Mjomba ...ugua pole mjomba.

NURU THE LIGHT said...



AHSANTENI WOTE,,
THANK YOU ALL,,
KAMA FAMILY WOTE TUNAWASHUKURU,,

Sophie mbeyu said...

Pole sana Samuel Mungu akusimamie kwa uwezo wake