SINCE DAMU ILIKUWA NYINGI SANA ILIBIDI WASUBIRI,,
TATIZO LILIKUJA PALE HAKUWA SWEDEN ANAPOISHI BALI NCHI NYINGINE Ndipo ALIPATA STROKE,,
JANA NDIO AMELETWA SWEDEN NA FLYG AMBULANS MEANING NI TEAM YA MADAKTARI WAMESAFIRI KUTOKA SWEDEN KWENDA KUMCHUKUA ALIPO NA KUMSAFIRISHA KUJA SWEDEN,,
SASA AMEWASILI NA BADO YUKO INTENSIVE CARE MPAKA UVIMBE UTAKAPOPUNGUA NA KUPATA FAHAMU,,
UNCLE HAONGEI WALA KUSEMA CHOCHOTE KWA SASA HE NEEDS TO REST YAANI ANAHITAJI KUPUMZIKA HUKU AKIWA MONITORED MAANA BADO HALI YAKE SIO ASILIMIA MIA,,
NINGEWAOMBA WATANZANIA AMBAO WANAISHI SWEDEN AMBAO WANGEPENDA MTEMBELEA HOSPITALINI NA KUMJULIA HALI KWA SASA WASUBIRI MAANA ANAHITAJI KUPUMZIKA NA KURECOVER SO NAWASIHI KAMA MNA MASWALI ANDIKENI HUMU NTAWAJIBU ILA NAOMBA KWANZA APATE MDA WA KUPUMZIKA MAANA ALIPEWA MASAA 24 TU YA KUISHI BUT YUPO MPAKA SASA,,
AHSANTENI WOTE MNAONIANDIKIA FACEBOOK NA KUNITUMIA EMAIL KUJUA HALI NA KUMUWEKA KWENYE DUA NA MAOMBI YENU,,AS A FAMILY TUNAWASHUKURU SANA,ONE LOVE!!
11 comments:
Oh God!! Mungu ni mwema atamsaidia ata mponya kwa Nguvu zake...Allah Karim...poleni sana.
AM
thank you!!
Oh no! Oh no! This is so sad! Pole Nuru sweety... Pole sana. Am sending you tons of well wishes... Mungu ampe wepesi na Amponye. Amin.
Polen sana,Mungu ni mwema anaweza yote,kama alifufua wafu huyo anko wako ni rahisi kwake kupona...mwaminin Mungu
MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA KIPINDI HICHI KIGUMU,NA INSHA ALLAH KWA NGUVU ZA ALLAH ATAMPONYA.POLENI SANA.
Inshallah Mwenyezi Mungu atamuinua na kumpa nafuu. Dua kwa wingi.
Pole sana nuru, pole uncle, Mungu ni mwena na atamfanyia miujiza. mwanadamu anaweza akakupangia masaa 24 ya kuishi ila Mungu akakupa miaka mingine 24 ya kuishi.
Poleni sana Nuru mungu ataleta rehma zake tunamuombea Uncle.
Salamu nyingi kutoka kwetu kama familia Pole zake nyingi sana Mjomba ...ugua pole mjomba.
AHSANTENI WOTE,,
THANK YOU ALL,,
KAMA FAMILY WOTE TUNAWASHUKURU,,
Pole sana Samuel Mungu akusimamie kwa uwezo wake
Post a Comment