THE FACTS!!
Nyumba hii ni ya Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare iko mbezi beach ilikuwa ibomolewe lakini baada ya Nemc kufika hapo waligundua kwamba nyumba hiyo imesogea kutoka eneo la awali na kurudi nyuma yaani kutoka wrong site to right site ni muujiza mkubwa sana! hivyo basi baada ya kukuta hivyo ilibidi wapime upya na kugundua kuwa kinacho bomolewa kwenye nyumba hiyo ni kijisehemu kidogo cha ukuta wa gate tu,,
2 comments:
Nuru, you are a nut.
Umenichekesha na conclusion yako.
hahhahaahha i know right all the fuss bcoz ya ukuraaaaa,,
Post a Comment